@funcitytz: FUNCITY NI NDOTO YA KIPEKEE KWA WATOTO WAKIFKA NI HISTORIA KATIKA MAISHA YAO #FamilyFun #goviral #funcity #FOLLOWER #reel

Funcitytz
Funcitytz
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 07 June 2026 06:06:11 GMT
62779
933
58
52

Music

Download

Comments

shuusweet
shuu sweet :
watoto wawili na mkubwa mmoja shinngapi
2026-06-07 13:03:08
0
cazorl0
mido mpole :
duuh wanangu walikua wataenda kwapesa zao
2026-06-11 12:57:13
0
mamuu701
maryam mohamed ally :
wapi huko
2026-06-07 13:24:06
0
fidea.soko
Fidea Soko :
aina ya michezo hiyo ni ipi
2026-06-09 15:13:58
0
user9611411537144
salima :
ipo wapi mbna hamjibu
2026-06-07 15:24:42
0
777jacklyne
jack :
kigamboni
2026-06-07 16:25:21
0
user1781437666670
business life :
beuatiful
2026-06-07 14:06:55
2
aisha.hamidu8
Aisha Hamidu :
mpo wapi maerekezo please
2026-06-07 14:16:10
0
mrs.ayoub.og
Mrs Ayoub😘💍 :
fun city ipo kigamboni hiyoo wakuu
2026-06-07 17:09:40
1
user592732371560
user592732371560 :
mpo wapi
2026-06-07 15:24:37
0
khalidomary32
khalid :
ipo wap hii
2026-06-07 09:23:42
0
shuuuuuuu3
shuuuuuuu3 :
Nieapi hapo
2026-06-07 12:34:45
0
salhiyaibrahim1
cute sahy🦋🦋 :
wow kwaiy ni unawez kuja hat siku za weakend na kiingliy shilling ngap siku za weakend
2026-06-07 06:11:53
0
rose_tz48
Rose_Tz :
mtoto bei gani
2026-06-09 09:37:27
0
muzney.sadiki
Muzney Sadiki :
Kwaiyo mkubwa pekeake elf 35000
2026-06-08 06:49:34
0
rahma.mkwama
Rahma Mkwama :
Mtoto mmoja na mtu mzima bei gani
2026-06-08 14:50:11
1
bettykarume6
Betty :
Wakubwa kiingilio sh ngapi
2026-06-08 14:13:48
0
user60280754406155
Kida :
Pazuri sana kwa watoto . watoto hawaishiwi hamu ya kuja huko
2026-06-08 07:10:14
0
salavianagodfreyk
salavianagodfreyk :
nawakubwa tunataka mvua jamani
2026-06-08 11:40:18
1
msnaa184
Naa :
duuh mwanangu aligoma kutoka hapaa yaan alitoka amekasilika hatarii
2026-06-07 16:43:32
0
nayhanc4
nayhanc :
elf40 napata michezo pamoja na chakula siyo
2026-06-10 10:56:00
0
user1415656381740
user1415656381740 :
kigamboni sehemu gani
2026-06-07 18:34:32
0
evelyaruu7
Eve lyaruu :
@henry john
2026-06-09 09:18:28
0
thelesiaemmanuel
thelesiaemmanuel :
😁😁😁
2026-06-09 06:00:58
0
rinkwo0
Reneey :
🥰🥰🥰
2026-06-07 17:56:05
0
To see more videos from user @funcitytz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About