@mkulimasolution: TUNAUZA FOOD CHOPPER MACHINE | MASHINE YA KUCHAKATA MATUNDA NA MBOGA KWA MIFUGO ๐ +255 658 375 861 ๐ฒ @mkulimasolution @mkulima_solution ๐ Muda wa kazi: Saa 1 Asubuhi hadi Saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) ๐tegeta/kariakoo โ Dar es Salaam โ FOOD CHOPPER MACHINE ni mashine maalum ya kuchakata matunda, mboga mboga na vyakula vingine laini kwa ajili ya kulishia mifugo kama vile: ๐ Kuku ๐ Ngโombe ๐ Mbuzi ๐ Sungura na wengine. Mashine hii ina ujazo wa kilo 10 / lita 10, imetengenezwa kwa stainless steel hivyo ni imara, salama na rahisi kusafisha. โ Faida za Food Chopper Machine: โ Inachakata kwa haraka na kwa usawa โ Inamix vizuri vyakula kwa uwiano mzuri โ Inaokoa muda na nguvu โ Inafaa kwa wafugaji wa aina zote โ wadogo na wakubwa โ Inasaidia kuongeza tija na afya ya mifugo โ MKULIMA SOLUTION tunauza mashine hizi bora kabisa na zenye viwango vya hali ya juu. ๐ Tembelea ofisi yetu Tegeta โ Dar es Salaam au wasiliana nasi moja kwa moja: ๐ Call/WhatsApp: +255 658 375 861 โ #foodchopper #chakulachamifugo #mashineyamifugo #kulishiamifugo #mifugobora MKULIMA SOLUTION | DAR ES SALAAM