Funzo la Maisha: Katika jamii, tunakutana na watu wenye tabia ngumu, wenye hasira, au wanaotufanyia ubaya. Mara nyingi tabia zao ni matokeo ya maumivu au majeraha ya nyuma waliyonayo mioyoni mwao. Kuelewa hili kunakusaidia kutolipiza kisasi kwa hasira, bali kuwa na busara na wakati mwingine huruma au umbali wa usalama nao.
2026-06-07 08:21:02
6
Saedy :
mwanang ukiw LIVE unalicheza naonaga kam naangalia movie 😂😂😂
2026-06-07 17:17:30
4
novatus@45 :
nifundishe jinsi yakuriweka kwenye simu ya ziteyas
2026-06-08 15:44:12
1
_ king swagzy _ :
Tunapataje game
2026-06-07 10:41:32
1
Patrick Athuman :
nalipataje kweny simu
2026-06-08 20:09:19
1
Mundhir Khatib Juma :
tufahamishe tunataka kucheza katika sim
2026-06-07 08:13:08
1
MASITORI........? :
nakubali sana kaka
2026-06-07 12:38:58
2
Craven%%% :
Nakubali (respect
2026-06-08 15:28:25
1
Mrs ❤ :
Hasheem unaonaje ukatufundisha kucheza game ata sisi ambao hatujatokea kwenye familia za kishua maana tunajikuta tumekua mashabiki wazur but tunabakia kutamani kucheza😒usinichambe maana una nongwa sana
2026-06-07 11:08:34
3
MakaziHub :
nambie mkuu
2026-06-07 13:24:19
1
@The-Finisher- Mo 🇲🇦 :
sio ku like tu na kufolow kabisa🔥🔥
2026-06-07 08:59:46
3
Đ么ŘĶツĶŇÎĢHŤ :
mm nina PS1 sasa hapo si itafaa?🥺😂😂
2026-06-07 09:57:13
2
Pierre :
Game inaitwaje
2026-06-07 10:37:49
0
kijana mpole 💥🔞❓️ :
haiwez kukubali kwenye ps3 🤔🤔🤔
2026-06-07 08:11:08
2
W̶i̶z̶R̶u̶t̶o̶27 :
Mapema leo nimewai😂😂😂
2026-06-07 08:10:00
1
s3ndo...... :
nakubali
2026-06-09 05:11:49
0
zodiac😎😎 :
broo naipataje hii game kwenye sim
2026-06-07 13:57:24
1
Shedrack🍺🇹🇿 :
Duu inaonekana gemu kali sana bro
2026-06-07 08:13:16
1
Cha🎮mpion :
Nakukubali sana MR.Hashim
2026-06-09 23:29:00
0
"YUNU~KIDD21" :
kaka nakukubali sana kwa kaz zako
2026-06-08 07:20:28
0
Khamismsangi⁰⁰⁹ :
bro u gud nakubali sana maelezo yako.... God bless you 🙏🏽
2026-06-09 16:42:57
0
mad41id :
Aaah game kali sana iyo sio pouw😁😁
2026-06-08 21:42:28
0
MALONE :
simu😳
2026-06-08 12:12:35
0
ytpoison :
wukong is crazy
2026-06-09 01:06:12
0
allenjaka :
ps4 pro haichezi
2026-06-07 14:27:26
1
To see more videos from user @iam_hasheem, please go to the Tikwm
homepage.