@guidefrancophonetz: Na hii ndio E3 Yaani ESCORT 3 hapo ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dr Hussein Ali Mwinyi hayo ni magari kwenye msafara wa Rais. Kumbuka gari ya Rais haina hivyo vibao bali Magari ya msafara wake kwa maana Gari ya Rais anayopanda ina Coat of Arms kama Plate Number yake yaani Ngao. Location hapo ni Mwanakwerekwe, Mjini Magharibi, Zanzibar.