@billionairejr: #gospelmedia#wakristo#fyp#viralvideos

Billionaire
Billionaire
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 07 June 2026 11:15:33 GMT
183865
15000
982
1990

Music

Download

Comments

mr.p_outfit
OLD MAN👴🏾 :
Never skip low quality video😅😂
2026-06-08 14:12:38
976
ymermboya
Ymer Mboya :
umejua kumtukuza Mungu katika content yako,be blessed
2026-06-08 18:04:46
909
favored8043
P💕 :
SEMA NENO TU🤌🏾, NA ROHO YANGU ITAPONA 😍
2026-06-08 19:01:45
474
annabashir3
Annah♊555🧿 :
iyo nyimbo kila nikijaribu kuielewa hainiingii 🙌 sijui kama wanasomaga biblia hawa watu🥺
2026-06-08 20:08:34
289
talkwithsophia2025
Talkwithsophia🇹🇿 :
😂😂😂😂U made my night wallah
2026-06-08 18:09:54
212
neemaelieskia
Neema 🎶 :
"Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya roho yako."ISAYA 43:4
2026-06-12 17:34:39
154
pk_dastan
PikahLoVe :
Huwezi kutoa content kali af nisicomment...we peponi mazima🔥🔥🔥
2026-06-12 15:41:55
35
kinshommie_
kinshommie_ :
Sasa hii si ndo yenyewe
2026-06-09 14:44:38
21
glorymashel
SABELA :
Pigia Yesu makofeeeeee
2026-06-13 08:34:49
12
rachel.chiwanga
Raquel :
Imani yako itakuponya kijana 😅🙌🏻🙌🏻
2026-06-08 09:54:00
66
igrolly
grolly _ 🦋 :
oya mama ako alitoa genius........❤️🙌🏿☑️
2026-06-15 18:11:38
6
glory.kaaya95
Glory Kaaya :
Kuna namna umeongea point
2026-06-21 18:56:59
6
adhella.feston
Adhella Feston Siwelwa :
Mm huu wimbooo unagomaaaaaaa kabisaaa kuuimbaa.. naishiaaa kwenye hilii😀😀😀
2026-06-14 21:49:09
7
mrreply08
MR-reply :
MZEE WA SIKU atume mtuu Ata yeye asijee, aseme neno tuuuu🥹…….. kama neno shida atume hata pumzi yake tuuu…… Basi baba pumzi nayo acha nitumie mwanga wa nuru yakoo tuu BABA…….
2026-07-03 07:56:29
5
carlyx83
carlyx83 :
BWANA HAUSTAHILI KUINGIA KWANGU LAKINI SEMA NENO TU NA ROHO YANG ITAPONA🥰🥰🥰
2026-06-18 00:52:24
14
mhengastore
Mhengastore :
Sistairi uingie kwangu......... lakini sema neno tuu na roho yangu itapona
2026-06-15 20:12:35
9
dkanto7
@D.kanto :
Hilo nalo ni neno tosha Broo
2026-06-10 12:38:28
8
attyaccessories
Attyaccessories :
@Attyaccessories: The point is different na mwimbaj alichomaanisha Yani anasema kuwa anataka yeye ndiyo aseme na Mungu akiwa Kwenye maombi yake maana katika haya maisha kila siku mtu anakuja kumwambia la kwake kwenye hilo jambo lake ndiyo maaana anasema kwenye HILI siyo kwenye HAYA . means hilo jambo Lake watu wanaokuja kumsaidia anaona haelewi Asa anakuwa confused so what he need ni akiwa Kwenye maombi yake private ya hilo Jambo lake anataka Mungu amwambie direct pale pale yeye mwenyew amsikie. Coz maneno ya watu wanaokuja kumshaur ni mengi na ni tofaut anachanganyikiwa anataka direct assurance from God maana tunavyokuwa tunaomba ndiyo njia peke ya kuongea na Mungu so anataka pale Anavyoomba apate jibu kwa pale pale direct . But sijapinga kuwa Mungu huwa hatumii watu but nimeeleza yeye alichomaanisha na ndiyo maana pale verse ya pili anazid kusema usitumie moto coz tunajua Mungu akija anatisha try to understand it in that way.
2026-06-13 13:06:28
41
gret987
M🦋🦋 :
umewazaa vemaaaa...... kabisaaa 😘😘😘😘
2026-06-08 06:22:06
66
maccer29
Maccer29 :
mi hii nyimbo nikianza tu kuuimba nanyamaza 😂
2026-06-08 06:55:56
135
user2979759442454
herieth :
unajua maandiko ubarikiwe
2026-06-08 09:22:04
38
shuu_salum
shuu_salum :
umeniponya moyo wangu❤️❤️thank yuh
2026-06-09 14:51:35
15
agnesmsemo
AggyTanzania :
Nilichogundua sio Kila nyimbo ya kuimba
2026-06-27 14:10:52
18
To see more videos from user @billionairejr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About