@mamuzuu: Mwana wa pwani si wa kufichwa... akipiga hatua, kanga hutikisika na furaha huongezeka. 💃🏾✨ Harusi ni ya wenyewe, nasi tulifika kuunga mkono mapenzi kwa bashasha, vicheko na madensi ya pwani. Alhamdulillah kwa siku nzuri na kumbukumbu tamu. ❤️ #MwanaWaPwani #HarusiYaPwani #SwahiliQueen #PwaniNiRaha #MashadaNaVigelegele
mamumuzuu
Region: KE
Sunday 07 June 2026 12:23:50 GMT
Music
Download
Comments
أم خديجة 💕 :
vibonge tumewakilishwa😁🥰🥰🥰🥰
2026-06-08 11:43:57
138
Maresh :
2026-06-07 17:46:59
30
bonge222 :
Sasa hizi ndio raha, nasahau shida zangu zote......... life it's too short,be happy..... shangazi Mungu akupe umri uzidi kushusha pressure zetu
2026-06-08 06:59:13
50
DON'T CARE :
vibonge kwa ubora wetu 🥰
2026-06-07 21:24:12
13
Didas Dida :
mwanamke t3 asikwambie mtu🥰🥰
2026-06-07 18:37:10
37
Riffat Win :
Allah atusameh bure wallah.wamama tunakosea wapii ??🥺
2026-06-08 13:04:19
21
queen 👑 mary :
🥰🥰🥰 kama najiona vile 😂pacha mwenzangu 🤣
2026-06-07 17:12:02
11
Zainab Chaupole 🤗 :
Sis wengine niwa Sero😄🥰
2026-06-09 17:08:50
8
SOLOMON 🇹🇿🇴🇲🎯 :
Mung ninusuru na wanawake vibonge
2026-06-09 05:04:25
5
Jadajj274🥰 :
🥰🥰🥰mamuu hapo chacha👌👌
2026-07-22 16:22:38
1
Akedilian :
[Sticker]
2026-06-07 19:11:55
3
didah :
Alafu niskie vibonge hatuwezi kukatika 😄😄
2026-06-08 21:32:44
5
mamake a'hakimu :
mashallah umeweza dada kiuno na ngoma sawasawa
2026-06-09 18:21:53
3
🤜45 :
Vituvyang kabisa ivi
2026-06-09 19:06:06
2
user3069699434409 :
minofu steki zinapendeza sana
2026-06-08 23:52:33
2
Mom Ammar 💝💝 :
Ahsant nimekupenda bure chibonge wangu 🥰🙏😘🫶
2026-06-08 07:13:17
5
Sofia Manandi :
naomba namba ya mpambaji
2026-06-09 15:51:40
3
decory2016 b :
TUNA MASHUKA PAMBE🔥🔥🔥👌
KARIBUNI DUKANI KWETU
PAAAMBEEEEEE🔥🔥🔥🔥👌🥰
2026-06-08 17:33:14
3
Ryan Giggs :
Tenaaaaa
2026-06-08 19:16:37
1
Jaipah4 :
2026-06-08 07:20:29
1
To see more videos from user @mamuzuu, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.