@officialdavidbrand: #tiktoktz🇹🇿🇿🇦🇬🇧🇰🇪 URAFIKI_0g#fyp #foryou #tanzania #mabasi

suma🇹🇿🇹🇿
suma🇹🇿🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 07 June 2026 13:39:30 GMT
345911
13845
500
167

Music

Download

Comments

user71009825842405
standard :
Mkoa wa Tarime? na mkoa wa Mara. Why
2026-06-07 19:04:30
49
196419771948myd
The beautiful voice is Quran. :
mume wangu asikutane na hii voice nimeachwa Makame mimi
2026-06-07 19:12:40
33
mwl286
Mwl Pilly✅️✅️ :
Yaani mimi natoka Mara' ila sijui kama Tarime na Mara ni mkoa mbili tofauti😳
2026-06-08 04:43:05
8
mrokitavian4
official kyerwa finest :
mkoa bukoba ndo wapi
2026-06-08 08:12:08
11
user36505442138320
mary :
kumbe tarime ni mkoa na cjui ?!!!
2026-06-07 21:50:11
7
nkand.thomas
Nkand Thomas :
tuliosikia mkoa wa TARIMEEEEEEE,wekaa makopakopa👏👏👏
2026-06-08 11:42:21
25
kisu.cha.ngaliba
kisu cha ngaliba :
safi bukoba tujuane
2026-06-09 16:37:43
6
vandelady
Van deee💞 :
Me mwenyewe nilikuwa sijui kama Tarime ni mkoa na Mara piah ni mkoa daah💔
2026-06-08 17:12:17
2
user25570142442264
osman :
morogoro mpaka mwanza ni ngapi?
2026-06-09 05:40:38
0
makemogirl
mariakehongo :
mkoa wa tarime ogggg
2026-06-08 12:30:14
0
mselasimat1
samwel yohana :
tuliosikia mwanza tujuane kwa like
2026-06-08 13:44:11
4
veronicachalesver
veronica :
naur ni shingap kutoka mwanza dar
2026-07-19 10:23:13
1
samson.sebastian28
Samson Sebastian :
Mambo
2026-06-07 22:15:19
0
user9752997609065
ASHEL CYPIRIAN PAUL :
na safari wiki hii Dar to mwanza ratiba ipoje na bei gan
2026-07-21 20:56:09
0
jeremiahchristian2
Jeremiah 0611558570 :
nice 😅😂😂
2026-06-08 07:24:30
0
nyamvuraemmy
Nyamvura Emmy :
Mmmmh😂
2026-06-08 03:27:59
1
77308tiktok
faith mbarikiwa :
dada nimekupenda Bure, af unasauti kama ya dada angu marehemu, na unafanana nae jamani😭😭😭😭
2026-06-08 11:24:57
2
happymachius
Happymachius Anacleth :
naomba kujua nauli ya kutoka Dar es salaam to Bukoba
2026-06-12 18:56:31
0
mariana.daudi
mariana daudi :
asant mrembo
2026-06-08 09:48:40
0
bahatijohn42
Luckyie :
uyu dad yupowapi mtag jamn nina kazi nae🥰
2026-06-07 21:19:58
4
jamilajuma592
juma junior :
Vp mkuu
2026-06-07 17:34:29
4
user8613074470660
Nelson :
mkoa bukoba ,,, mtumeeee
2026-06-08 03:45:57
1
rene51900
rene :
naomba kazi ya uhudumu kipenzi
2026-06-10 22:58:57
2
shamira687
shamira687 :
mkoa bukoba NI upi
2026-06-08 06:16:04
0
asha.shabani658
Binti juma og :
hakuna Mkoa unaoitwa Tarime,na Mkoa wa Mara Mkoa ni mmoja TU ambapo ni Mkoa wa Mara Tarime ni Wilaya iliyopo ndani ya Mkoa Mara
2026-06-14 10:49:56
1
To see more videos from user @officialdavidbrand, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About