Tunaoamini kwamba hiyo ni nguvu ya Konyagi tuLike hapa😂
2026-06-10 18:07:19
51
lauradee :
watu wa moton hao
2026-06-07 16:55:03
14
abdulmalikimwali4 :
kumbe OKELLO ANAJUA KUPIGA NGOMA
2026-06-08 04:23:54
13
sukari ya warembo :
camera man unazingua sasa ao wapiga ngoma sisi wa nini mkuuu
2026-06-17 07:11:46
10
HonestBoy BadMax☠️👽☠️ :
sema salute 🫡 kwa mpiga ngoma 😂😂😂
2026-07-25 10:36:42
2
Michael Michael :
yani jamaa limebobea mpaka linapiga ngoma msuso yaani aangalii kabsa ngoma 🤣🤣
2026-06-08 18:32:18
16
Lucifa Mizinguo :
Freddy migomah.
2026-07-12 20:10:37
1
MAIKO DUDIKOFU🥷 :
Hakuna kitu kizuri kama kufanya kazi ambayo ndio passion Yako,Hakika mpiga Ngoma hapigi kwajili ya pesa tu anayoipata,pia anaenjoy kazi yake.
Tahadhari na mijimama ni muhimu zaidi.
2026-06-12 10:14:24
6
Alex :
camera man tembeza camera 🎥😅
2026-06-08 16:34:07
6
memorymatei8 :
nimewakubar
2026-06-10 00:56:05
0
Mwanahamisi Sharifu :
mnapatikana wap?
2026-07-15 16:38:45
0
Aziza Said :
atali wanapatikana wap
2026-06-19 18:49:49
0
Mariamu Joseph :
mmenichanganya dam inatembea kwa kadi sana hap
2026-07-14 21:35:20
1
✞𝗣 𝗥𝗘𝗫𝗬༆⛎ :
𝗡𝗚𝗨𝗩𝗨 𝗬𝗔 𝗡𝗬𝗔𝗚𝗜𝗜 𝗵𝗶𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼
2026-06-08 11:15:44
5
baby T :
mnapatikana wap jaman
2026-06-15 17:13:56
0
Mr kalundi :
kumamae mnanichanganya mwezi 12 mapema sana huyu msipokuja nae mtarudi naawmbia
2026-06-07 21:16:05
5
Rachi Seven :
baaasi
2026-06-10 02:52:54
0
Nemes madin :
hao sijawai kuonaga wakio hawajalewa
2026-06-09 14:30:09
1
nanah kitapwa :
mnapatikana wp na sh.Ngap
2026-07-14 22:49:52
0
mumebora2 :
Cameraman mchoyo sana
2026-07-04 17:37:47
2
Mwasha Tunda :
wewe ni motooo
2026-06-11 12:01:44
2
kazzy mgaigai :
noma sna
2026-06-08 07:49:06
1
Tarick Ndumbo :
unapatikana wapi
2026-06-08 13:14:22
1
To see more videos from user @kigomachatudo, please go to the Tikwm
homepage.