@islamic_rihla: Si kila talaka inayotolewa huwa katika wakati unaoruhusiwa. Uislamu umeweka mipaka na masharti ya talaka, na kuitoa katika wakati usioruhusiwa ni dhambi. Ndiyo maana Muislamu anatakiwa kujifunza hukumu za talaka kabla hajafikia hatua ya kuitamka. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH SAID BAFANA 🤲 Usitangulize hasira mbele ya sheria ya Allah. 💬 Andika “Allahumma aslih buyuutal muslimiin” 🔁 Share ujumbe huu kwa wengine. 💔🤍 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #islamicvideo #uislamu #islamic #islamic_rihla 🟠 FOLLOW US