@0kidi: 🍫🍍 Chocolate coating na Freeze-Dried Fruits ni combination inayovutia sana! Kama unavyoona, Freeze-Dried Pineapple inaweza kutumika kwenye chocolate coating na kutoa ladha halisi ya tunda, harufu nzuri na crunch ya kipekee ambayo ni vigumu kuipata kwenye matunda ya kawaida na DehydratedFruits. 😋✨ Na sio pineapple pekee, Freeze-Dried Mango, Banana na matunda mengine pia yanaweza kutumika kuongeza ubora na muonekano wa bidhaa zako. Tofauti na Dehydrated Fruits, Freeze-Dried Fruits huhifadhi ladha, harufu na muonekano sawa na tunda fresh. 💯 📍 Dar es Salaam, Magomeni 📞 0670975716 #FreezeDriedFruits #ChocolateCoating #FreezeDriedPineapple #OkidiFruits #NaturalSnacks

Okidi - Freeze Dry Tanzania
Okidi - Freeze Dry Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 07 June 2026 17:47:09 GMT
83953
2115
23
75

Music

Download

Comments

kemy_501
Kemy🦋🫧❣️ :
Hivi hiyo method ya kufreeze dry matunda, haiharibu nutrient content ya hayo matunda??
2026-07-17 05:37:41
4
babykaman3
user1108393677109 kaman :
Me nitalila lote ilo🤣🤣😂😂😂😁🥰🥰
2026-07-15 20:55:10
1
sharifaabdallah75
Sharifa Abdallah :
shukra
2026-07-23 09:56:00
1
palacefashion1tz
Palace-fashion :
zinakaa kwa muda gan nje ya friji
2026-07-10 08:02:28
2
its__lycee
Its__lycee 🦋 :
Una sauti nzuri mremboo 😁
2026-07-04 15:04:10
1
gyacie03
Comfort Gyc :
unapatikn wapi
2026-07-10 19:34:09
0
lilacberry2
Lilac💜 :
Natuma mikoani
2026-07-12 14:43:43
1
user8408414953012
user8408414953012 :
tofauti ya freeze drying, sun drying, dehydrator/dehydration tofoauti ni ipi?
2026-06-07 19:57:21
0
toneyz_86
Toney :
Nitapata vipi huo mtambo huku Kenya
2026-07-05 09:11:09
0
waldafashion
Brack beauty ❤️ :
mnapatikan wap
2026-07-01 12:12:50
0
officialmartha830
Officialmartha :
😁😁😁
2026-07-18 21:35:59
1
To see more videos from user @0kidi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About