😅Asante mungu we ndo ujuaye hatma yetu nakuomba utupe mwisho mwema na walio tangulia uwafanyie wepesi wagonjwa uwape shifa ya haraka na si utupatie maradhi ya panadol
2026-06-13 19:50:49
5
waah de pretty :
asante mungu kwaafya njema na zawadi ya uzima 🙏🙏🙏
2026-06-09 10:22:01
9
my :
tujaliee mwisho mwema. tujaliee mwanzo mwema wa kabrii. allhahuma aminii.
2026-06-09 11:25:45
46
cute b :
Asante sana Mwenyezi Mungu ❤️❤️❤️
2026-06-08 16:56:46
20
Mr Tbag @$Hussein :
yah Allah nisamehe Dhabi zangu na wazazi wangu
2026-06-12 09:53:54
11
Shelda Ludege :
Asante mungu Kwa zawadi kubwa yauhai
2026-06-09 05:01:01
58
To see more videos from user @kifu.one, please go to the Tikwm
homepage.