kuna yule waziri wa maji aweso na mke wake yaan kila akiongea kila akijamba ni Samia,samia samia
2026-06-08 10:57:13
46
MÀÑŸÒTÀ ĴŔ99 :
fact sanaa brother ✅
2026-06-08 10:49:35
2
CEO _R.co.Ltd.🐄 :
Mh Bashungwa hadi anapitiliza😁😅🔥🔥
2026-06-08 07:34:47
34
Lord :
Yaani mpaka mtu unahamisha chaneli
2026-06-08 13:52:46
22
haji ramadhani :
kiukweli hii media inachambua mambo mazur san
2026-06-09 05:17:06
8
Manyanda Msukuma. 🇹🇿 :
Hio mie uwa spend kbs.Ndo maana hata Serengeti boy nilifurah sana kufungwa.
2026-06-09 04:07:28
10
tms :
bora kaka Oscar umenisaidia hiki kitu huwa kinanikera sana
2026-06-08 13:09:00
19
Keegan :
wanajificha kwenye jina la Rais lkn uwajibikaji zero,
2026-06-08 06:04:40
14
yuzarsif0775 :
cyo kwa samia t hata wakati wa wote waliostaafu ilikua hvhv kwa hyoo tuacheni siasa za hovyoo hayoo hayakuanza leo
2026-06-08 11:21:42
7
mackenzie :
Ccm Wana Mungu wao anaitwa mwenyekiti wa chama anaabudiwa kuliko hata Mungu wa kweli maendeleo ya nchi yako mikononi mwake katiba ya hovyo sana hii
2026-06-08 12:02:29
13
ferooz tiz G7 :
naona mmeanza kubadilika sasa
2026-06-08 13:03:46
10
KANDIwITI@ mijengo :
oska oska oska nimemuita
mar3☺️☺️☺️
2026-06-08 10:10:02
9
Ben masero :
Umeongea ya moyoni mwangu😂
2026-06-08 14:33:13
7
Dhahabu :
Yani osca mm Kuna mda nakupenda sana ukiamua kunyooka hua huna Kona Leo pia umeongea point sana 🫡🫡🫡❤️❤️❤️🏆👑👑👑👑🇰🇪🇹🇿🇹🇿🔥
2026-06-08 11:56:55
7
Daniel :
Well said bro
2026-06-09 03:17:12
0
Maish :
This is what makes me un happy with this kind of leaders
2026-06-09 06:00:30
0
Elias paulo :
umetishaa kaka problem is all about responsibility
2026-06-09 04:53:19
0
Samson jackson :
sasa unahisi tatizo liko nanani? kati ya mlewa sifa na mtoa sifa?
2026-06-08 18:32:01
5
farahanichoroko :
Brother akika umeupiga mwingi sn
2026-06-08 10:47:59
5
Did Elia :
sikuzote mm naamini watendaji walifanya kazi vizuri sifa zitainuka automatically wananchi ndio wanaopaswa kumsifu raisi na sioviongozi na kama kiongozi akisifiasifia sana bas ujue anajificha utendaji mbovu alafu anajikinga na jina nandiotatizo la nchi inayoendeshwa kiuchawauchawa
2026-06-08 08:09:39
5
G7 Smartpoint Tz :
mimi cioni kama wanakosea maana ni maelekezo ya spika toka Bungeni
2026-06-09 06:19:21
1
baba wawili97 :
mi taarifa habar siiangaliagi juu ya unafiki wa viongoz weetu
2026-06-09 06:40:54
4
theobartkingamkon :
bagonza alisha sema sana kumsema Rais kila mahali
2026-06-08 18:20:12
3
To see more videos from user @malongwe_gallery, please go to the Tikwm
homepage.