@alex_mwakideu: By the way kwani mnawalipa ngapi jamani??? #alexmwakideu #fyp

Alex Mwakideu
Alex Mwakideu
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 08 June 2026 06:27:14 GMT
272499
12274
789
1084

Music

Download

Comments

sarahtinina6
Sifa :
wenye tunalipwa 10k let's appreciate our bosses 😘
2026-06-08 14:39:52
190
sharon.barasa0
😒😂 :
Nataka mschana wa kazi, Niko na mtoto mmoja 8K, practice makes perfect 🥰🥰🥰🥰.
2026-06-08 13:17:37
62
joan.wanyama4
Joan Wanyama :
plz munitafutiye
2026-06-13 19:44:39
0
trizah20
trizah20 :
mnasema kuanzia end month narukishwa from 8k to 18k? very nais😂
2026-06-08 12:21:07
38
babasally40
𝓔𝓭𝓲𝓽𝓸𝓻 :
𝐰𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐧𝐚𝐦𝐥𝐢𝐩𝐚𝟏𝟕,𝟓𝟎𝟎
2026-06-08 11:06:56
45
marcelinaadhiambo006
💘M.A.R.C.E.L.I.N.A💘 :
mimi nalipwa 6k 🥲🥲🥲🥲aki
2026-06-08 16:26:31
14
user2798002483762
user2798002483762 :
m wangu namlipa 13k na alienda nyumbani so nataka mwingine plz
2026-06-08 12:55:04
27
annmaua2
Ann maua :
wacha ni post status boss aonee hii😂😂😂
2026-06-10 06:08:00
5
kephakere
KEPHAKERE :
mimi wangu nilimlipa Friday 18k😁😁😁
2026-06-08 06:31:34
26
osaleh.brenda
Mbalanya Brenda :
nalipa wangu 26k so Niko safe🙏🙏
2026-06-08 16:04:11
8
user4302904041055
jentix :
WALE w 7k
2026-06-08 20:08:15
8
leila_amankwar
Leila :
Na alipe rent na WiFi na chakula namuuzia. Alhamdulillah
2026-06-08 07:22:46
5
annetawino885
Annet ❤️ :
mm I appreciate my boss she pays me 12k kuna washing machine ninatosheka na hizo😊
2026-06-08 18:44:54
3
agnettah8
Kinya 🥰 :
alafu Kuna wengine ulipa 8k watoto 3 na ni mansion 😭😭😭😭😭
2026-06-10 12:35:27
5
yakhanukinan
Mix Blood 😂😂 :
kwani serikali ndio inamlipa ama Ni Mimi
2026-06-08 14:28:31
6
atheino.christine
Atheino Christine :
let them stay live out it will work
2026-06-13 19:07:04
0
riziki0515
Riziki Nzia :
hello unipe hio kazi
2026-06-13 18:06:57
0
user7422081770
Winnie 💅❤️‍🩹 :
God bless your 🙏🙏🙏🙏
2026-06-13 07:56:57
0
carymi
Ka farmer :
Wangu akitaka tu aende😅😅😅
2026-06-08 14:58:24
6
millymmake
💥❤Real me💗 :
Wangu tangu askie hvy hata now days huwa haoni news tena😁😁
2026-06-08 17:21:16
19
lenah.ngunyu
Lenah Ngunyu :
iwekwe kwa tv news za saa Moja kama tuko wote na boss do aelewe
2026-06-09 04:29:32
15
gloria.mrema22
Gloria Mrema :
Wacha nitegee nikipewa 18k nitakuwa natoka tenpasent 2k na sio chocha mungu ananisikia mungu bariki kazi za mikono yetu sisi house help ☺️☺️☺️☺️
2026-06-08 16:33:18
6
mamaangel_4
mama angel :
mimi na lipa 10k 🙏na sina watoto wadogo 😅😅
2026-06-08 07:29:35
13
peninahnasimiyu90
nasimiyupeninah90💞💞💞 :
nipewe tu hio 18k i will rent my own house.
2026-06-08 16:49:21
8
shamim.ali35
God hear me 🙏 :
Mm nlianza na 6k sai ni 8k for 5 years now.I thank God nmejengea wazazi nalipia my siz school fees na mtoi Wangu.Na hata kiatu cjui Bei na nguo bora wazazi wawe sawa mengine baadaye.
2026-06-08 15:22:18
12
To see more videos from user @alex_mwakideu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About