@chrisminyoosho: @Nihan ✨ Kazi ikiongea, jina linajijenga. Nikiwa kazini nafanya ninachokipenda zaidi, huku nikiweka kila detail kwenye kiwango cha juu. 🔥👑 Mteja star, ususi clean, na mwonekano ulikuwa on point. 💫 @XawinMsusiOfficial👑 #ChrisMinyoosho #CornrowsTZ #BraiderTZ #HairStylist #Cornrows
Chris_minyoosho _empire
Region: TZ
Monday 08 June 2026 06:37:44 GMT
Music
Download
Comments
HOMELINK STATIONAY (my name)😍 :
Paula kwa mbali
2026-06-08 17:57:51
356
Apio sarah :
how much without the coat and tie?
2026-06-10 14:22:09
130
MRS RUTH💦💍🥹🦋 :
you are talented dear🥰🥰
2026-06-19 10:44:16
1
Trent :
ngoja nimtag dem wangu aje aangalie watu walivyo wazuri huku
2026-06-08 16:23:17
487
powers :
next time try to speed up tulina ebyokulaba bingi
2026-06-10 16:55:55
29
Chris_minyoosho _empire :
Bei 60k kila kitu kwetu
2026-06-08 06:52:42
201
SedyReeh :
marry me so that I wont go to any salon🤣
2026-06-10 15:38:57
20
🌹@ Reshya🌹 :
Akiiiiii siez kunyim like fundi 🔥 fire 🔥🔥
2026-06-08 14:03:59
98
zay beauty &Nails🥰 :
nipo chuo ndio najifunza nataman kufikiw kiwango kama chako kaka🙏🙏🙏
2026-06-08 17:04:26
37
royal grow hubby :
Jamani anamfanana paula au macho yangu😂😂
2026-06-09 12:42:00
13
FRANK MSUSI :
WEWE SI NILIKUACHA INSTAGRAM KULE😂😂😂
2026-06-08 08:35:24
55
Çŕụßh Ñãŕãh 🦋🌸 :
namuonq Paula kwa mbali
2026-06-09 11:21:32
8
user4450658151682 :
mbona kafanana na paula
2026-06-09 06:51:18
6
Sophia。 :
Hii lasts Au uzi
2026-06-10 14:45:11
0
my smiley :
du jmn nilizan paul
2026-06-09 19:04:41
2
DADDY FES2FES✨ :
Experience from the ski
2026-06-18 19:31:26
0
rashmiles 12 :
so painful
2026-06-18 19:30:12
0
🦅🩵💙Christybaby🩵💙🦅 :
How much without the glasses 🕶️
2026-06-18 07:01:15
6
cessie🦋✅ :
Kuna wasusi wengn wanaume wakisuka wanajichetua snaa kama wanawake an. Ilaa ww uko smart sanaa ❤️❤️🥰🥰✅ na unajua kaz nzur bro🥳🥳
2026-06-08 17:50:26
21
Aysher :
kazi nzuri
2026-06-08 14:35:06
5
Sada Saidi :
Kafanana paula kindogo
2026-06-08 18:53:30
5
HB Tz💪💪 :
kwan huyu ndo paula?
2026-06-09 13:38:47
21
vheaven :
Yani uyu ndo ansuka kiume sasa 🥰🥰🥰🥰
2026-06-08 15:40:10
8
King Mfaume Photographer 📸📸 :
Kwa Hyo ni minyoosho manzo mwisho😂
2026-06-08 17:44:24
6
To see more videos from user @chrisminyoosho, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.