@dr.kalobo: Tonsil stones hutengenezwa wakati mabaki ya chakula, seli zilizokufa, kamasi na bakteria vinajikusanya kwenye mashimo madogo ya tonsils. Bakteria wanapozaliana kwenye maeneo hayo, mabaki hayo yanaweza kugandamana na baadaye kuwa mawe ya tonsils. Dalili zinazoweza kuonekana ni: Harufu mbaya ya mdomo Kuhisi kuna kitu kimekwama kooni Maumivu au usumbufu wa koo Ugumu wa kumeza Kikohozi au kuwashwa koo mara kwa mara Pia, kwa baadhi ya watu, acid reflux inaweza kuchochea kuwashwa kwa koo na tonsils, jambo linaloweza kuongeza uwezekano wa mabaki kujikusanya na kutengeneza tonsil stones.#afyatips #omani #usa#sauthiafrica