@kkkt.bethania: Maombolezo 3:22-23 [22]Ni huruma za BWANA kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi. [23]Ni mpya kila siku asubuhi; Uaminifu wako ni mkuu.
Mbarikiwe sana...Nimemuona Mwnj Eliezeri Mbasha hapo
2026-06-08 08:58:13
1
irene zakayo92 :
nimefurahiii sn
2026-06-08 20:20:46
1
Rose :
Ndio wimbo unanijia alfajiri ,Mungu amenihurumia kunipa siku nyingine mpya.
2026-06-08 18:37:54
2
jackpapaah,🇹🇿🇦🇪 :
hakika Mungu ameniurumia 🙏🙏🙏🙏
2026-06-08 20:07:29
1
Iline💋 :
huwa na barikiwa huu wimbo jamani
2026-06-08 17:51:35
1
NashNai :
Boma Letu la Lotalakuaki Metili ni Baraka ukija kwenye kuimba, tumerithi kwa Bibi yetu na Wazazi wetu... ni Neema ya Mungu kwa kweli, Mch. Kaka Elgard Metili na wadogo zake wawili twins nao na Wachungaji... 🙏🙏
2026-06-08 19:18:40
1
it is miss👩🎓🌺🌹 :
Nimejikuta nafurahi moyoni
2026-06-08 19:31:45
1
Blandina Michaell :
,Yani nikiusikia huuwimbo najikuta machozi yanatiririka mungu naomba nihurumia namimi
2026-06-08 16:19:09
1
dollykweyamba :
barikiwa sana
2026-06-09 10:03:25
0
Mama Fahari :
Thank you Lord
2026-06-08 20:37:29
0
To see more videos from user @kkkt.bethania, please go to the Tikwm
homepage.