@breezt4: Si kila sala huhitaji maneno mengi. Wakati mwingine inatosha kukaa mbele ya Yesu aliye katika Ekaristi Takatifu, kumtazama na kumruhusu akutazame. Hapo ndipo mizigo hupungua, hofu hubadilika kuwa tumaini, na roho hupata amani ambayo dunia haiwezi kutoa. Tuombe: Ee Bwana, nipo mbele zako. Ongea nami, nibadilishe, unijaze upendo wako na uniongoze katika njia ya uzima." 🙏 #EkaristiTakatifu #IbadaYaKuabudu #YesuYuHai #AmaniYaKristo #Sala #breezonlinetv #kanisakatoliki #BaloziWaAmani #news