@alfaris.tanzania: UMRAH AFTER HAJJ 2026 Je, unatamani kuitembelea Nyumba Tukufu ya Allah kwa utulivu na maandalizi mazuri? Al Faris Travel and Tours inakukaribisha kwenye safari ya kipekee ya Umrah baada ya Hajj 2026 pamoja na Sheikh Hashim Rusaganya. Return Flights Ground Transfers Buffet Breakfast EVisa Waiver Tour Guide Bei kuanzia $2300 kwa mtu Pata punguzo la $50 uki-book kabla ya tarehe 10 june! Travel Dates: 24 June – 03 July Book Now: +255 757 930 977 +255 774 780 770 #Umrah2026 #AlFarisTravel #UmrahJourney #Makkah #Madinah
Alfaris Tanzania
Region: TZ
Monday 08 June 2026 09:53:37 GMT
Music
Download
Comments
😃😃😃 :
Waislamu Takbir ❤️❤️❤️Allah Akbar ☝️Waislamu tusiache kumswali mtume Muhammad (S.A.W) n tusiache kuombeana mema mungu atufnyie wepesi Kila hatua 🤲
2026-06-08 11:25:42
26
Mbalu The mjac :
sheikh Allah ukupe umri wenye manufaa
2026-06-08 11:39:24
22
Ai ha xaid :
Sheikh mung akubalik sheikhe wetu kutufundisha mambo ya Allah Allah
2026-06-08 11:41:32
11
awadhi320 :
Allah alehem mtume wetu muhammadi
2026-06-08 10:55:56
10
adamu omary :
uraa kiasi gan shekhe rusaganya
2026-06-17 07:33:54
1
Herson_Habshy :
muendelezo tafadhal nimependa sheikh wetu anavyoelezea
2026-06-09 11:36:04
5
موسى عبدالله موسى :
ALLAH tujaaliye mwisho mwema wa maisha na mzidishie maisha marefu sheikh Hashim Rusaganya🤲🤲🤲
2026-06-08 10:48:12
8
user3011315983491 :
allahuma swali ala sayidina Muhammad Wa ala Ali was-habih wasalim
2026-06-08 11:45:33
5
Yusuph Barnaba :
mungu akujalie mwesho mwema
2026-06-13 11:41:52
1
user3400194929596 :
Aa hapo nikaribu na mlango no ngapi
2026-06-08 11:58:36
4
ramso :
mungu akupe uhai mrefu watoto wetu wapate kujifunza mengi kutoka kwako inshallah
2026-07-02 20:31:08
1
zingibari :
MashaAllah
2026-06-11 05:13:04
1
Solder⚒️⛏️.. :
allah atu jalie mwisho mwema 🤲
2026-06-09 14:40:31
3
anchaazuar :
❤️❤️❤️suamllanllahu allaihi wassanllamma❤️❤️❤️
2026-06-13 03:35:04
1
prodigue nzonda :
Ali Faris aksante sana kutupa habari za makka ISHAALAH tutapo fika mola akujaliye kila la heri shehe.
2026-07-09 10:09:56
1
ibrahim :
allatunjaliye mwichomwema
2026-06-15 15:46:40
1
JAPHARI :
Muhammad s.a.w
2026-06-09 14:30:30
3
user561974314025679 :
Al hamboudoullillah ya Allah
2026-06-09 19:29:03
2
ramamsagati :
masha allah mwalim anakufindisha mpka raha na unaelewa
2026-06-10 12:13:26
4
khanaha :
mtume Muhammad s, a,w
2026-06-08 11:45:11
3
FAZA BOY :
inshaallah
2026-06-08 15:45:01
2
Habib sweddeeq :
لا إله إلا الله محمد رسول الله
2026-06-08 10:52:09
3
Mussa Athumani :
allahu akbaru mungu tupemwisho mwema
2026-06-11 14:44:21
3
SAGGAFF :
S.A.W.
2026-06-10 04:07:59
1
abdalla munye :
maasha alah 👍
2026-06-10 21:35:53
1
To see more videos from user @alfaris.tanzania, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.