@chunamakeup: Replying to @Leticia💋 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 #Sapna #chanuo #Sapna

ChunaMakeup
ChunaMakeup
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 08 June 2026 11:39:50 GMT
524088
24009
466
524

Music

Download

Comments

lady.hamidas
lady hamidas. 🥰🥰 :
tunao mkubari sapna like hapa😂😂🥰
2026-06-08 17:50:02
107
menar764
Bree.....🥀 :
Tunaomkubali chanuo like hapa🥰
2026-06-08 13:18:11
1504
halimah_chere
Halimah :
ila chanuo anaongea jaman 😂😂😂
2026-06-08 12:12:19
243
rebecayaspine
rebeca :
ogopa marafiki ogopa ndugu
2026-06-08 12:09:34
432
truda781
truda :
mh usione watu wanacheka wanapitia meng
2026-06-08 12:56:44
302
nadiachite
nadya_🌹🌹 :
simpendag sapnaa
2026-06-09 04:36:43
22
fettyrashidi7
fettyrashidi7 :
kwan sapna nd0 nani kwan
2026-06-09 07:45:29
0
mnyangabejowrlice
mnyangabejowrlice :
Rafiki yangu kipenzi Molly akaolewa na mme wangu na Sasa wao ni mume na mke alooooo marafiki siwahitaji
2026-06-09 06:49:10
85
debway93
pink zuuh109 :
duuh kumbe ndo mana Huwa unalia sana kweny kombolela jmn 😥😥
2026-06-08 15:15:06
123
pekenyua
pekenyua :
mbona chanuo kama mzuri sana
2026-06-08 17:03:56
59
ironrose_16
ironrose_16 :
pole sana lakini maimartha kumbe anaongea ukweli.
2026-06-08 13:41:57
201
ladypink2891
LadyPink🩷 :
Ninaushuhuda na marafiki 😂💔🙌
2026-06-08 16:18:00
66
mrs.me367
dhdhjrj :
mwanamisi rafiki yangu huyo anaishi na mume wangu saivi
2026-06-08 15:18:18
71
ant.dee5
Ant Dee :
Mi sasa ivi rafik angu ni bwana Angu😂Marafik n nomaaaa
2026-06-08 16:40:23
32
smile.maker63
Esther🦋💕 :
Kila Siku tunapata funzo kwa marafiki🤣
2026-06-08 18:33:15
30
daphrean8
daphrean8 :
Haijalishi watamchafua mara ngapi au ana madhaifu yapi huyu dada ila me nampenda hivo hivo🥰🥰
2026-06-09 08:10:05
10
linkup320
linkup320 :
10/10
2026-06-08 16:14:15
6
keihmwanah
keih Mwanah@1 :
12/12
2026-06-08 14:59:39
9
w.jacob24
w.j :
nimempenda huyu dada kawa mkweli hajaona aibu ila katoa somo
2026-06-08 16:09:35
50
quuenmother0
Aunty Anne 💕 :
Sinaga rafiki na sitaki rafiki milele
2026-06-09 03:49:30
11
zenakomba1gmail.c
malkia mweus :
Sapna anawivu sn .
2026-06-08 15:19:02
96
amimaa27
Amimaa :
Nyie Chanuo lililokukuta lilinikuta 2014 ila lilikuja kunifungulia milango ya ridhki kwani after miezi 4 nikapata ajira Alhamdulillah 👏
2026-06-08 15:25:27
55
aziza.japhary5
Itsaziza🔐🧸 :
Chanuo anaongea kama zuchu nampenda vp🤗😘😘😘
2026-06-09 07:46:46
6
mercy_a87
Mercy :
Ndio ujifunze aina ya marafiki
2026-06-09 04:32:16
6
To see more videos from user @chunamakeup, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About