@islamic_rihla: Ndoa haiishi kwa kuishi nyumba moja tu. Inahitaji upendo, mawasiliano, kuheshimiana na kutekeleza haki za kila mmoja. Wakati mambo haya yanapopuuzwa, watu wanaweza kuendelea kuishi pamoja lakini furaha na utulivu wa ndoa ukawa umetoweka. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH MUHARRAM MZIWANDA 🤲 Allah azijalie ndoa zetu upendo, rehema na baraka. 💬 Andika “Allahumma aslih bayna azwajina” 🔁 Share ujumbe huu kwa wengine. 🤍💍💔 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #islamicvideo #uislamu #islamic #islamic_rihla 🟠 FOLLOW US