@heizkim: Nakuwaza sana leo ❤️... kuna ile sehemu moyoni imekaa kimya bila wewe. Nimekumiss kupita kawaida, hata vitu vidogo vinanikumbusha wewe. Natarajia kukuona au kusikia sauti yako haraka, maana uwepo wako ndio unafanya siku yangu iwe kamili 😘❤️ #FeelingsCoupleGoals #tiktoktanzania 🇹🇿 #tiktokkenya 🇰🇪 🇺🇬 🇹🇿 @𝐋𝐲𝐫𝐢𝐜𝐬-𝐋𝐚𝐯𝐚𝐧
Najua Kuna kaDem kamejilaza kitandani peke yake kazi ni kuscroll tu😂Hi Kamama 🥹🫂 can we be friends 🥰
2026-07-01 20:25:24
62
DALALI_BONY_CHAMAZI :
NAKUKUMBUSHA USIMPE MTU MDA NA THAMANI AMBAYO AKUIONA
2026-06-27 18:07:09
37
*JB* Mgayamotors :
money talk bro unatumia muda vbaya
2026-07-05 11:38:58
5
Male 🦁 :
ngoja tutafute pesa mapenzi hapana
2026-07-09 15:43:57
11
Shamour👩💻✨🌸 :
Nakuwaza sana leo ❤️... kuna ile sehemu moyoni imekaa kimya bila wewe. Nimekumiss kupita kawaida, hata vitu vidogo vinanikumbusha wewe. Natarajia kukuona au kusikia sauti yako haraka, maana uwepo wako ndio unafanya siku yangu iwe kamili 😘❤️
2026-07-06 11:04:04
13
Janethy Temba :
labda siyo mimi😅😂
2026-07-06 21:35:41
8
🌹Titha-girl🌹 :
Ata niletee dharau aisee 😅😅😅 na mm sipo tayari 😂
2026-06-08 18:02:33
23
Jack Baby :
nimetuma hajachomoka
2026-07-06 10:44:24
6
smile Businessman :
Brand muhimu mamaee atajua yeye
2026-06-27 13:11:29
14
it's mom neyla🌸💫 :
namtumia nan? au sijaelewa 😳
2026-07-01 13:58:41
10
Silver-Star :
nipe hilo buku tano mkuu
2026-06-14 18:42:22
5
Private⚡⚡💥 :
Nakuwaza sana leo ❤️... kuna ile sehemu moyoni imekaa kimya bila wewe. Nimekumiss kupita kawaida, hata vitu vidogo vinanikumbusha wewe. Natarajia kukuona au kusikia sauti yako haraka, maana uwepo wako ndio unafanya siku yangu iwe kamili
2026-07-01 00:35:40
8
💎🤍 :
Me nlimtumia akasema ni Al sio mimi atanibutua😂😂😂🙌🏽
2026-06-30 01:29:10
6
Yuzzojr :
Kk ubarikiwe San penz limerud ten
2026-06-21 19:46:41
6
Jodatz :
nime mutumia kasema kumbe😳
2026-06-09 13:38:26
5
Gidraff Ghadafi :
nimeshamtimia kani blue tick ajajibu.leo kazi ipo
2026-06-08 18:52:09
6
Essie :
wavivu wenzangu naomba mcopy na kupaste 😁
Nakuwaza Sana Leo,
Kuna ile sehemu moyoni mwangu imekaa kimya bila wewe,
Nimekumiss kuliko kawaida hata vile vitu vidogo vidogo vinanikumbusha wewe...
Natarajia kukuona au kusikia kutoka kwako haraka ya zaidi ya vile unaweza,
Maana uwepo wako ndo unafanya siku yangu iwe kamili...
2026-07-11 19:29:52
5
rahelmimbi :
weeee siwezi jidhalilisha ivoo
2026-07-01 06:07:39
5
Bahya🦋 :
Jibu n ok😂😂
2026-07-11 12:23:01
0
Pat-b OG :
90/90
anza nalipa fasta
2026-07-08 23:54:24
1
Neme Boy :
handsome in tz 😳
2026-07-09 18:55:48
1
To see more videos from user @heizkim, please go to the Tikwm
homepage.