Wapandushuka ladies..pia tuacheni kupea wanaume hela pia huko kenya..najua tuko hapa ila hatusemi..🙊🤣🤭🤣🤣mi.nliacha hio tabia..nlipigwa tukio 😂😂😂😂
2026-06-09 07:51:52
7
HaweKasmart 🇨🇭🇰🇪 :
mbone jameni kila mara ni madem here madem there tuu kila ucheo 😳😳😳.. na hao waume wakuekwa kinyumba mbone hatujasikia wakishambuliwa🤔🤔🤔🤔, haki wadada tunaonewa walahi