@ustadhzaydibrahim: Bwana IPM Kuhalalisha Pombe Sio Sahihi Pombe Ni Kharaam %100 #ustadhzaydibrahim

Ustadh Zayd Ibrahim
Ustadh Zayd Ibrahim
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 08 June 2026 15:14:36 GMT
141198
7039
111
153

Music

Download

Comments

user2252101598679
Abdul Kareem Omary :
watu wa dini zote wanakunywa pombe nenda Baar unakuta watu wa dini zote wakiristo waislamu wanakunywa
2026-08-01 20:52:39
12
cute.sally2
Cute Sally :
sikufatilii tena utanipoteza
2026-07-31 11:55:46
11
rojalayog
Rojalay :
pombe ni Haram Iko waz wax
2026-07-29 16:17:33
5
richarddomiko
Richard Domiko :
aash
2026-08-02 19:11:16
0
mulownfrtix
prince :
Comedy
2026-07-30 20:01:12
2
edsonyamos
Edsony Amos :
uko sawa kaka ipm anayumba
2026-08-03 10:56:56
1
richardtz43
Richard Tz :
kama haramu mbinguni inafanya nini?
2026-07-30 10:34:59
2
dallasofficialjuly
Dallas :
uyu IPM ni shehe sio mchungaji
2026-08-01 10:50:36
1
shukuru4312
shukuru :
asante
2026-07-15 12:26:26
1
mum.dida._.001
diana :
pombe ni haramu hakuna kiasi wala kuzidisha
2026-08-03 10:30:21
0
mumusimbilusasi
EVER🦋🦋🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 :
kwa waisilam lakini sio kwa wakristo sisi hatufuati Quran tunamfuata bibilia na kwenye kitabu Cha methali kinasema kunyweni lakini kwa kiasi
2026-07-30 20:38:47
5
user2541565009844
wasafi sudi :
ok
2026-08-07 20:26:42
0
deking.son
deking son :
Amina
2026-08-03 08:22:45
0
katemi.de.katemi
Katemi De Katemi :
iv na mbeya kuna shee wa mkoa
2026-08-03 15:52:22
1
happyherman51
happyherman :
mbona pombe jee ngono sion haram
2026-08-03 08:09:52
0
user4472930671575
abel :
merci beaucoup
2026-08-03 17:08:43
0
kassimu.salumu3
Kassimu Salumu :
lakini mbinguni ipo au aipo?
2026-08-01 07:54:41
0
mswahili.abza
mswahili abza :
sheikh mkweli Masha Allah
2026-06-25 07:06:52
0
albano881
Albano mgaya :
wapi pombe imeandikwa haramu sitaki niambiye ulevi nataka unipe andiko linalosema pombe n haramu
2026-08-03 04:26:48
0
irene.mosha74
Irene Mosha :
Jamani mtueleweshe ulevi sio kwenye pombe tuu mbn vingine mnazidisha chochote kikizidi kinaitwa ulevi guys iweje kitu duniani kiwe haramu akhera iwe halali jamani nashindwa kuwaelewa nahitaji maelezo zaidi ili nielewe 🥺
2026-08-02 13:23:07
0
nanziasenzige
🦋🦋nansy ♥️💯🦋💙 :
nashukuru Mungu Mimi mkristo na tokea nianze mafundisho tokea mdogo mpk hapa nilipo nambiee pombe ni dhambi Yan ulevi
2026-08-03 05:47:18
0
njoyleeofficial
NJOYLEEOFFICIAL :
DUNIANI HARAMU MBINGUNI HALALI
2026-08-03 05:49:29
0
marcusbhaule
marcusbhaule :
Kitu haramu kinakaa Peponi?
2026-08-03 07:41:33
0
sefuhg
Sefuhg.(..🔥📍📌..) :
sikufatilii ten kwanz nakuanfollower unanipoteza 2 aph
2026-08-03 08:08:10
0
happinessdickson6
~Happipie~🦋🥰🤎 :
msikiti wako uko wap sheikh
2026-07-31 13:46:49
0
To see more videos from user @ustadhzaydibrahim, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About