anaejua story ya mwamwindi nanmkuu wa mkoa wa iringa miaka hiyooo atie comment yake hapa
2026-06-08 18:42:18
232
𝐏𝐑𝐄𝐓𝐓𝐘 𝐒𝐇𝐔𝐔👑 🌸💕 :
Au gabo Ndo bongo move yenyew jmni🙌
2026-06-08 23:46:57
137
introvert🦋 :
wahehe tumefikiwa
2026-06-08 20:45:06
89
MR KARIAKOO⚡📺 :
Hii movie inachukua tuzo zote bongo
2026-06-09 15:40:49
87
Kamana Paul :
hizi ndio muvi tunazo taka katika nchi hii 🙏
2026-06-09 09:46:48
62
MO NDALO :
lugh gani hii
2026-06-08 19:36:04
6
JABALI la Tz :
Wivu naona Mimi I feel something we miss from our uncestostors
2026-06-09 18:00:38
5
daughterofjesus977 :
Gabo anajuaaaaa sanaaaaa
2026-06-09 17:14:14
5
Drick matter :
KAMA UNAMKUBALI GABO LIKE HAPA 🤗
2026-06-09 19:04:59
10
Jacque :
Wee ni nani? Me ni muhehe 😂
2026-06-08 20:37:41
22
kelvini madati :
jamaa anajua lugha karibu zote za makabila ya Tz
2026-06-08 20:21:39
13
Karang :
hii story meikumbuka
mkuu wa mkoa na mkulima
2026-06-09 16:41:03
6
issa kisoma :
huyu mwamba noma sana
2026-06-09 15:18:52
6
MUSAH KHAN :
wee muheshimiwa nakupa heshima yako mkuu ww nimkuu kwe movie
2026-06-09 14:52:15
9
Makimario store01 :
mmmm gabo anajua 🙌🙌🙌
2026-06-09 04:42:43
7
masofa empire :
noma sana ...gabo hii story nimesoma kwny history
2026-06-09 21:38:49
5
Mohamed Kingazi455 :
Inaitwaje
2026-06-09 09:41:11
5
The Twister :
aisee ....uyu jmaa anaejuwaa
2026-06-09 06:40:57
6
mwipugi :
jina la moves jamani
2026-06-08 19:35:18
17
Oldschool DUD£🇹🇿🎤🎧🎻 :
HII TUNAIPATAJE INAITWAJE
2026-06-09 19:00:23
9
Scarllete 😇💦🫂 :
amenishnda tabia ananipta hata mwenye lugha yangu🥺🥺
2026-06-08 20:47:17
13
Kaby@Gonza :
kwenye hili Gabo ajengewe sanamu kiponzelo kwa kweli🥰🥰
2026-06-09 06:28:36
6
fetty :
move inaitwaje
2026-06-09 02:43:06
10
user4338398795828 :
mwenye makosa ni DR kireluu na alikuwa jeuriii kibriii na alijiona yeye ni msomi asie kosea kitu na hivyo ndivyo alivyo fanya DR KIRELUU mwamwindi alikua yupo sahihi sana tuu mungu alaze mahala pema peponi inshallah
2026-06-09 08:55:35
8
op matair :
enhe ikawaje sasa jaman em mwendelezo🧐
2026-06-08 17:10:42
5
To see more videos from user @bongo.movie, please go to the Tikwm
homepage.