@power_media08: BONDIA HASSAN MWAKINYO YUPO TAYARI KUKABILIANA NA BONDIA MICHAEL SORO RAIA WA IVORY COAST. TPBRC tunamtakia kila la kheri bingwa wetu wa Tanzania, @hassanmwakinyojr , kuelekea pambano lake kubwa dhidi ya Michel Soro wa Ivory Coast litakalofanyika tarehe 10 Juni 2026 katika Abidjan Arena, Ivory Coast. Hii ni vita ya mabingwa, fursa nyingine ya kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa. Tunawaomba mashabiki wote wa ngumi kuendelea kumuombea na kumpa sapoti mwakilishi wetu. Mungu ampe afya, nguvu na ushindi. 🇹🇿🥊 #HassanMwakinyo #MichelSoro #TPBRC #TeamTanzania Boxing AbidjanArena 🥊🇹🇿 Tunamtakia ushindi mnono Hassan Mwakinyo na safari njema ya kuiletea Tanzania heshima. C&P