@ngasatvdodoma: Kama ulikuwa hujui, Basi ndio hivyo kuwa huyu ndiye mwanamke wa kwanza Dar Es Saalam kumiliki Hummer na Ndege, Sijui huko kwenye mikoa mingine kama wapo, Kama wapo watag tuwajue,Ila kwa sasa tunamtambua huyu. Cc @dinamarious Kwa Huduma ya Matangazo ya Biashara Dodoma,Wasiliana nasi kupitia 0716909567 @ngasamedia_dodoma

Ngasatvdodoma
Ngasatvdodoma
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 08 June 2026 17:19:01 GMT
64032
1797
76
512

Music

Download

Comments

emmy.killeo
Emmy Killeo :
sema matajiri hawanaga mambo mengi jamani hapo ningekuwa mimi😅😅😂😂
2026-06-08 19:40:02
39
rachaelgold276
Rachael Gold :
tajili mwenzangu
2026-06-08 19:02:04
32
moza.moza421
Moza Moza :
MashaAllah mama ALLAH (S.W)akuzidishie zaid uimara wako
2026-06-09 04:09:04
2
albajudy25
ALBAJUDY25 :
mam uyooo Th Boss Lady In Tanzania Mzenjiii 🙏🙏🙏Bi Tichaaaa Mama Nasser
2026-06-09 04:40:31
7
miss.mussa0
miss mussa :
Na alafu kavaa simple tu 🥰
2026-06-09 03:32:00
11
najjahcute
🍎 :
mzanzibar anahela uyu mashaallah ❤️
2026-06-09 05:07:33
8
shangazi_wa_mtwara
Lady Halima :
Natembea na kujiunganisha na hizi baraka…Amiiiyn
2026-06-09 04:19:43
4
fanan_wa_chollo_express
fanan🌸💝🥰 :
Mashallah mashallah hongeraa mama Allah ajalie mali yako iweee sababu ya kuingia peponi
2026-06-09 07:38:11
7
riymashahid
Rahiyma Allawi :
mama Yake sharifa huyu
2026-06-08 20:01:06
12
mikekijogoo
. :
Hilo nguo lake unaweza sema la 15k kumbe ni madollar
2026-06-09 05:21:53
4
allyraul
Ally Raul :
Masha Allah, Ni Mama na ni Boss wangu katika company ya cleaning and Foward, Tabasam as Agent
2026-06-09 07:22:45
2
mansourel_jabr8
mansourel_jabr8 :
Ana mume..,! Anaemjua ani connect
2026-06-09 07:45:09
1
asmoo110
Asma Mohamed :
mashallaah Mashallaah ❣️
2026-06-09 05:04:05
2
mum.twins65
mum twins :
Acha nitafute pesa
2026-06-08 21:10:07
4
unguja05
unguja05 :
mama ticha uyu wtu wa mpendae wanamjua mama ake na sharifa shaba mama wa maana kabisa uyu
2026-06-08 20:58:49
5
ireenmalle
Self Love :
ahsante mamaa
2026-06-09 06:14:39
1
moza.moza421
Moza Moza :
Hongera sana mama umetisha na kunyooka itabidi tuige mfano huo tusiogope changamoto ktk biashara
2026-06-09 04:07:59
5
mzanzibari_boutique
Ameena💙 :
Bi ticha mashallah
2026-06-09 07:25:28
0
amina.maingu8
Amina Maingu :
ongera Mungu azidi kukuongezea riziki
2026-06-09 02:18:48
1
coachbassanga
Coachbassanga :
Huyu Bibi Anaitwa Nani jamani
2026-06-09 08:11:58
0
mgeniottow1
mgeniottow1 :
mashallah dada kipenzi Cha watu Hana bayaaaaa
2026-06-09 09:55:10
0
uzaakilakitu_77
Lifestyle :
yuwafanyaa biasharaa..ngani
2026-06-09 09:35:57
0
mnajimu_kuluthum
Mnajimu_kuluthum :
Hongera mwanamke mwenye nyota dume mungu akuongoze zaidi ufike mbali
2026-06-09 08:13:18
0
luxe.oud.tz
LUXE OUD TZ :
Masha Allah
2026-06-09 08:13:41
0
To see more videos from user @ngasatvdodoma, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About