@mwanste: MWISHO WA PID NI KUACHA KUTOA MIMBA* 😭. Naandika huku 😭 nalia maana najua ni ngumu et we unasemaje mpenzi msomaji Ok any way acha niendelee na somo Aslimia 80% ya PID husababishwa na utoaji wa mimba abortion japo kuna Visababibishi vingine vya pid kama 1️⃣Matumizi ya uzazi wa mpango kwa mda mrefu 2️⃣mama alotoka kujiKujifungua anaweza pata maambukizo kwenye via vya uzazi 3️⃣Vipimo kwenye mlango wa uzazi 4️⃣Matumizi ya sex toy 5️⃣Kujichua pia inapelekea infection maana vidole hubeba bacteria wengi sana 6️⃣ Kuwa na historia ya U.T.I za mara ka mara 🔻 *DALILI ZA PID* _Dalili za PID_ zinatofautiana,zinaweza kuwa 🌱Maumivu ya tumbo sehemu ya chini au upande wa kulia 🌱Kutokwa kwa uchafu ukeni usio wa kawaida wenye rangi ya kijani au ya njano na wakati mwingine una harufu isiyo ya kawaida 🌱Kichefuchefu na kutapika 🌱maumivu ya mgongo na nyonga 🌱Maumivu wakati wa tendo la ndoa 🌱Maumivu wakati wa kukojoa 🌱Maumivu sehemu ya kulia upande wa juu wa tumbo 🥰 *MAMBO YANAYOWEZA KUMUWEKA HATARINI MWANAMKE KUPATA PID* 👉Kuna baadhi ya vitu ambavyo vinamuweka mwanamke katika hatari ya kupata PID ni kama vifuatavyo 📌Wanawake wenye magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiiana kama kisonono na klaimidia wako hatarini sana kupata PID 📌Wanawake ambao waliwahi kupata PID wako hatarini kupata tena 📌Wasichana wadogo wapo hatarini kupata PID kuliko wazee. 📌Wanawake wenye wapenzi wengi wako katika hatari ya kupata magonjwa ya zinaa na PID *Baadhi ya tafiti zinaeleza uoshaji wa uke unachangia kupata PID.* 👉Kuosha uke( Douching) kunaweza pelekea kusukuma bakteria sehemu za juu za via vya uzazi na kuzuia kutoka kwa uchafu ambao mwanamke angeweza kutumia kama ishara ya kwenda kuonana na wataalamu wa Afya mapema 😭 *MADHARA YA PID* Kutokea /kujirudia kwa PID kunaweza kusababisha kutokea kuharibika mirija ya uzazi ambayo inaweza kupelekea 🌱1.Ugumba 🌱2.Mimba kutunga kwenye mirija ya uzazi(ectopic pregnancy) 🌱3.Maumivu makali kwenye shingo ya kizazi Kati ya wanawake nane (8) wanaougua PID mmoja Anakuwa mgumba Karibu nikuhudumie leo kwa suluhisho la kudumu +255765542600 #mwanzatiktok #dodomatanzania🇹🇿 #manyara #kigoma #arushatiktok