@ngasatvdodoma: "SAIVI MAPENZI HAYANA NAFASI PESA NDIO INA NAFASI" Neno la Mwanamke wa Shoka Sabah Saidi Salim baada ya kupokea tuzo ya Mwanamke wa Shoka katika Uthubutu ya @dinamarious Kwenye #kitchenpartygala Kumbuka tuzo hiyo amekabdhiwa na Dkt Evaline Munis ambaye ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Ajira na Mahusiano. @warmstays_tz Kwa Huduma ya Matangazo ya Biashara Dodoma ili upate wateja wengi zaidi Piga Simu 0716909567 @ngasamedia_dodoma
hajawahi kumpenda mtu na anawatoto 6 ila wanawake 🙌🙌
2026-06-09 06:22:42
79
NaturalHairGirl 💁♀️ 🇹🇿 :
mimi mnitoe jamani wooi kwenye hichi kikao mnotoe futeni jina langu...yule baba nampenda vibaya mno
2026-06-09 07:42:18
22
gifty_luxe :
Mother house wangu♥️♥️🥰
2026-06-10 06:38:41
0
user9618482679039 :
mama unatuongezea idadi ya masingle mother
2026-06-09 12:16:48
11
Shey_vipodozi :
mmhh yan anaesema tusiangalie watoto tufanye kaz yeye kila ikifka Dec anaenda vacation na mumewe na wanae 😁tukiwa tunatafuta hela tukumbuke na kuwa karibu na watoto 🥰
2026-06-09 13:16:45
6
LUNA 💕🌸❤️ :
Najiona mm miaka 10 mbele😅❤️
2026-06-09 10:45:28
5
Suzana Christopher :
WA mama hoyeeeeeee
2026-06-09 04:13:44
9
Choosen one 🦋😇🥰🫡🙏🏻 :
ckuepo na wala cjui wwte.!!!!mapenz na mm maji na samaki🥰 i lavyuuuuuuu maprnz
2026-06-09 13:24:30
4
Happymbilinyi :
mimi kwenye kikao hicho mnitoe
2026-06-09 12:34:54
5
Eli_Ituku :
anaitwa nani huyu?
2026-06-09 07:00:59
3
ashuraalmas4 :
allah azidi kututiya nguvu ya kupambana zaidi
2026-06-09 07:45:04
5
Butterfly♓👑🩵 :
hamna kupenda mtu ni kupenda kitu mamaa nmeelewa Kodi 🥰
2026-06-09 07:16:42
6
Boss tembo :
Sawa mama tumeelewa
2026-06-09 11:28:56
2
Browneyez hairstylist :
Me miaka 10 ijayo
2026-06-09 18:13:55
1
Majenda pevement :
Baba levo kazi unayo bungeni⛑️
2026-06-09 15:52:27
1
salma :
najiona mm
2026-06-09 10:48:26
1
Ruby vijora👗👜👠 :
Kabisa
2026-06-09 05:35:09
1
Zuwena Zanzibar Wedding Dress :
mashalah Saffiiii sana mama 🥰🥰🥰🥰
2026-06-09 05:34:58
1
da-Tuu :
Yuko sahihi
2026-06-09 05:26:00
1
doku :
mama tichaaa Allah akulipe kila la kheri inshaallah
2026-06-09 21:18:31
0
Clm @nsia :
mama Asante
2026-06-10 06:55:08
0
Smart Q Store :
Ameen 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-09 21:29:42
0
magiko magiko :
ameni
2026-06-09 18:44:22
0
To see more videos from user @ngasatvdodoma, please go to the Tikwm
homepage.