@mwl.emilian.katub7: Zaburi 23:5 Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu. Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika. Acha mwaka huu Mungu akuandalie meza machoni pa watesi wako katika jina la Yesu. Mtu wa Mungu kuna kikao ambacho mtesi wako haingii na wala Mungu haombi ushauri kwa watesi wako kwamba akubariki au asikubariki Leo nimekuombea Mungu aliyeziumba mbingu na Nchi akubariki na kukuinua machoni pao, Mungu awaweke ili waone namna anavyokubariki Pokea hizo Baraka za Mungu katika jina la Yesu
Naomba msinisahai kwenye maombi yenu naumwa sana macho 😭😭🧘
2026-06-09 05:44:56
11
tatukatatuka ☺️❤️🔥 :
kama unampenda like 🥰🥰
2026-06-09 05:02:32
19
Amani Ombeni :
Amen and amen 🙏
2026-06-14 17:16:44
0
Kashindi Mwamini :
iyo nikweli kbs🙏🙏🙏
2026-06-11 21:37:25
1
Fortunata Masawe :
mwenyezi mungu mwingi wa rehema naomba unapowabariki wengine unikumbuke na Mimi bwana,kwa sababu ulisema utatupa urejesho wa miaka iliopotea ilioliwa na madumadu,tununtu na parara Asante Hakika wewe ni mwaminifu bwana🙏
2026-06-14 18:46:06
1
joynairesiai :
ameen pastor
2026-06-14 06:41:26
0
cojr sauti ya master :
mung akubarik cn mtumish nabarikiw cn cn 🙏🙏🙏🙏
2026-06-13 08:28:39
0
JAMES MASAWE :
AMEN AMEN AMEN I RECEIVE THANK YOU JESUS 🙏🙏 🙏
2026-06-10 14:43:59
1
Leila Mdoe :
Amen mungu NI Mungu
2026-06-10 05:03:35
2
lilianjj :
amina
2026-06-13 05:09:28
0
neemabchirsitopha :
amen napokea
2026-06-09 04:55:18
3
ANjlilna :
amen 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-09 08:51:25
1
denisembambu573 :
Amina
2026-06-09 14:01:02
0
Apple———🍎 :
Napokea maombi aya amen 🙏
2026-06-09 04:29:21
2
namwe :
Ameeen 🙏 🙏 🙏
2026-06-09 05:31:32
1
Lucy Wangari :
Amen amen
2026-06-09 18:34:43
1
Linah 🇰🇪 :
Amen 🙌🙌
2026-06-09 05:30:54
1
merryjohnjohn45 :
Amen 🙏🙏
2026-06-09 05:31:30
1
mercy love 💞💞💞 :
Amen 🙏🙏
2026-06-09 11:50:29
1
gordiusmasillago :
Mungu baba na Mungu mwana ni mmoja
2026-06-09 06:48:34
1
mum❤️ :
true,Amen Amen Amen
2026-06-09 09:51:12
1
Official G :
Ameen🙏🏽
2026-06-09 05:52:28
1
Mariam Nkwabe :
mungu akutunze mtumishi wa mungu napokea neema hio kwa jina la yesu
2026-06-09 05:42:21
2
Vanessa :
MUNGU akubalik san mtumish wa MUNGU azid kukutumya siku zote za maisha yako Amen 🙏 🙌 👏 ♥️