@frankkachelewa: Kwenye #NoFilta ya 5 #JahaziHD leo @veronicasimulizi ameendelea na muendelezo wa simulizi ya mpendwa wetu afahamikae kwa jina la Dorcus, umeisikiliza!? Kama hukupata time ya kutega sikio 88.5 MHz pita kwenye Youtube Channel ya Clouds Media ili tuendeleze pamoja safari ya muendelezo wa simulizi hii ya kusisimua. #JahaziHD Cc @Clouds Media