Kivumbashi (holy basil) hii ndo mint plant yenye nguv aisee hii dawa ni balaa hakuna gonjwa haitibu yaan inatibu hadi uchawi
Na katika dawa yenye ina matokeo ya haraka Sanaa basi hii kiboko
2026-06-10 08:11:53
13
Reen 2003 :
ngoja nimuulize chat gpt kwanza
2026-06-10 05:29:10
2
scholah 🌷🌹❤️ :
jaman ndio huu au ni tofauti
2026-06-13 11:26:18
1
Robhisa Isack :
Ngoja nijarbu ntawapa feedback 🥰🥰
2026-06-09 13:48:45
5
dedee :
hii dawa ni nzuri sana anatibu had tumbo linalojaa gesi
2026-06-10 15:52:08
5
my lestina 💓💓💓💓💓 :
mm nikwamme wangu nakuw sin isia jomani
2026-06-10 11:57:18
2
Caphlen Mwinamila :
Shukran sana dr
2026-06-09 08:02:33
1
teddy.cosmetics3 :
Mjamzito anatumia
2026-06-09 14:29:43
1
user174901608161 mida mmy :
Asante
2026-06-10 10:46:15
1
mrs nickson💯💝 :
uchaf je
2026-06-12 08:59:12
0
scholah 🌷🌹❤️ :
kumbe hii ndio kivumbasi
2026-06-10 11:59:46
1
Moza :
thank😂
2026-06-09 08:25:12
0
Shamilax Juma :
doctor naomba dawa ya mtu anaeingia hedhi Mara mbili kwa mwezi
2026-06-12 18:12:08
0
Rey cute :
Dr naomba unisaidie dawa ya mdudu kwenye kidole 🙏
2026-06-09 16:15:00
0
B Mummy :
Kumbe ndio maana wahaya wako on fire maana ndio chai yao
2026-06-11 06:18:25
2
xanurath 🌺🌱 :
mweny acid akitumia Hain shida io
2026-06-09 20:47:39
0
Maya Elegance ♋️ :
vp nikitumia nikiwa ktk period
2026-06-11 06:39:47
1
Nino :
tuelekeze na dawa ya nguvu za kiume pls
2026-06-09 14:04:05
1
MPENZI MTAZAMAJI :
Natafuta wa KUJARIBU nae jaman
2026-06-09 19:26:15
0
Ashley :
inasidiaje upande wa akili
2026-06-09 20:12:40
0
🦋Sarapy🦋 :
fangasi ya mdomo jaman
2026-06-10 18:58:28
0
leeyrinah💞💯 :
mm naomba ya kukata damu ya hedhi nilitoa sindano ila napata siku 15 kuendelea😭😭
2026-06-10 20:15:00
0
Khairat Haroun :
mie sin hamu kabis nitimie nn
2026-06-11 01:46:11
0
miss ryeen🥰 :
si ndo kashwagala hii jmn chai yetu🤔
2026-06-12 10:02:08
0
To see more videos from user @vigourhealth, please go to the Tikwm
homepage.