@veriafya: Umewahi kusikia nini kuhusu uhusiano wa Mwanaume kufanya Punyeto na kupungua kwa Nguvu za Kiume? Kwa mujibu wa Dkt. Sadru Mohamed, Mwanzilishi wa App ya AfyaChap na Mkurugenzi wa Kliniki ya Madaktari Bingwa ya Msua Polyclinic iliyopo Musoma, Mkoa wa Mara, upungufu huu hautokani na kitendo chenyewe, bali hutokana na Ubongo kuzoea mazingira yasiyo ya uhalisia mfano Video au picha za ngono na mgandamizo wa mkono, jambo linalomfanya mtu ashindwe kufurahia au kushiriki kikamilifu tendo la kawaida la ndoa na mwenza wake. Mahojiano haya yamefanyika kupitia kituo cha Bongo FM.

Veriafya
Veriafya
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 09 June 2026 07:55:30 GMT
88400
3057
90
161

Music

Download

Comments

gud_870
will_870 :
bac ngoja niendelee Asante dokta
2026-06-09 19:33:06
46
user3493779738003
yammy :
Wanangu huyu Doctor namjua jilani yangu ni Doctor wa maana kabisa.
2026-06-09 19:21:33
26
user7175412352716
Shafiq :
Namshukulu mungu leo n sku yapili tangia niache punyeto...
2026-06-10 16:07:47
7
jackson.ndayiragi
Jackson Ndayiragije :
huyu ndo doctor sasa
2026-06-09 19:13:46
15
bonemawee
last Boniphace :
aibu mtaona nyie me naipenda
2026-06-10 15:01:51
4
kesiakesia01
Kesia +255 :
umeongea late
2026-06-09 15:49:06
13
alkindi164
Yaa :
Doctor yupo sawa ni jirani yangu namjua🙏😁
2026-06-10 10:44:34
5
saru.samson.sarury
saru samson sarurya :
ww Leo ndio umesema sasa
2026-06-09 17:23:40
11
amri.malumbo5
Amri Malumbo :
Mimi nimeach kabis Yan nashukur MUNGU SANA
2026-06-10 15:56:28
1
anoldnelson465
anord :
asante doctaa
2026-06-10 07:59:34
2
koyesa44
koyesa. :
kweli kbs
2026-06-09 14:41:23
7
wwmayagi
him over sarya :
bola ata daktar umesem vizur
2026-06-10 05:04:07
4
suddy0069fashion
suddy fashion ✨️ :
kwel
2026-06-09 13:57:49
4
carvin0755
KG-G1gha-0G :
Really brother
2026-06-10 07:06:07
1
official.ngoswe79
Official LG📸📌📖 :
nyto
2026-06-09 18:31:54
3
anatorymadola
madola@24 :
King Sadruuu
2026-06-09 08:54:40
4
mwambete.tz
MWAMBETE :
Unatafuta comment gani ndugu 😁
2026-06-09 20:47:43
4
imatemba
imatemba :
Asante Dokta
2026-06-10 09:47:18
1
rashidi.juma14
Rashford jr :
ataliiiiiiii
2026-06-09 17:53:45
2
saidzubery8
Mr D :
huyo kasema ukweli 💯
2026-06-09 17:58:33
2
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About