@cawabemedia_: Mdau wa Ngumi maarufu kama Rais wa @naccoz_gym1 Mafua au Macheni ameelezea nafasi ya @hassanmwakinyojr kufanya vizuri katika pambano lake dhidi ya @michelso1 litakalo fanyika siku ya kesho Nchini Ivory Coast .

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 09 June 2026 09:20:48 GMT
19382
1135
36
13

Music

Download

Comments

benhunter16
benhunterhaule :
nakuonaga mweu kumbe unaakili sana... samahani bro
2026-06-09 14:35:49
4
faraji.de.tz5
faraji De tz :
respect broo mwakinyo mwanetu
2026-06-09 19:22:38
3
rick.mkami
@Rick💫 :
GOD BLESS
2026-06-10 10:33:55
0
kingi_lastborn
BlueTick :
huyu ni nani kwenye ngumi??
2026-06-09 12:09:07
1
jamhuri.stanley
BUSHMAN 🐘🐆🦏🦬🦁 :
nakukubar mafua japo team nakoz lakin mzalendo.
2026-06-10 10:16:20
0
mbarukually65
MbarukuAlly :
Mogadishu family
2026-06-10 01:50:07
1
saidmkumba875
Said Mkumba :
nc sf
2026-06-09 22:24:43
0
.binaam
Binaam😎 :
Kwer kaka nakubali mia mia
2026-06-09 20:51:02
1
baba.wawili28
MANIGER SMART :
sahihi macheni ww n mpenzi w ngumi na sy shabiki w mmoja au team moja
2026-06-09 19:09:59
1
user23992294844161
user23992294844161 :
Safi sana
2026-06-09 19:57:11
0
njayo77
njayo :
Points
2026-06-09 15:26:47
0
hellenamagaya1
Hafsa wa Mhameed❣ :
Nisameh nilikua nakuangalia vibaya 😁 Point yako nmekuluusu kila bondia akipanda jukwaani na ww nenda 😅
2026-06-09 18:23:40
1
user993629001
Gaino mtu kazi _⛽️ :
kabisa
2026-06-09 18:20:18
0
user3465468258209
nduki nduki :
nakubal san kk
2026-06-09 18:07:46
0
alonecarstickerswindowt6
Alone Alone Stickers :
Safi Sn
2026-06-09 20:05:22
0
princeyuzzle
PrinceYuzzle :
Sahihi mkuu
2026-06-09 18:23:26
0
chande1888
chande1 :
fact sana kaka
2026-06-09 15:06:29
0
user6657568508002
mndondi salim :
kaka kweli mwanamichezo nimekubali umeongea kimichezo
2026-06-09 18:37:23
1
alhajplasterdecoration
kanik Plaster Deco 🇹🇿 🇰🇪 :
respect 🙏 sanaaaa mkuu
2026-06-09 15:58:44
0
khalifain1
Defender puma mnyama :
asa bro ayo mavyuma shingoni yanni
2026-06-09 17:56:08
0
amina.mapiano
Amina mapiano :
Mzee wanakozi umetisha kk
2026-06-09 18:09:17
0
abdulkhaleed16
abdulkhaleed :
fact 🔥🔥
2026-06-09 16:15:29
0
kanimambo1
kanimambo1 :
Safi
2026-06-09 15:34:06
0
user363475660962
user363475660962 :
jamaa azingatiwe ana point sana taifa kwanza ww ni mdau kabisa mzee
2026-06-09 14:53:08
2
alexalexander9881
alexalexander :
mzee wa mwagwepandeee
2026-06-09 21:36:59
0
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About