@bongotzfm: Msanii wa muziki @harmorapatz1 amesema ana jumla ya watoto tisa, nane kutoka hapa nchini lakini mmoja kutoka nchi ya nje Sikiliza CAMP Kila Jumamosi kuanzia saa 6:00 mchana Mpaka saa 8:00 mchana vile vile tunakuwa live Youtube @bongotzfm na pia unaweza kutusikiliza kupitia Radio Box na Radio Garden tafuta Bongo FM. Host; @tonnyskills_ @popah_africa 🎥@dvj_sady @official.dvj.sady