@mamayohannamachinga:

mamayohannamachinga
mamayohannamachinga
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 09 June 2026 11:00:47 GMT
188690
8101
1138
2380

Music

Download

Comments

olenjeemanu
Olenjeemanu :
Hongera
2026-07-26 19:31:55
0
rasi.simba176
Rasi simba :
Wakuu uyu dada tumjengee sanam wapi
2026-06-10 05:29:46
181
honorathacyliacus09gmail
Hono fashion🌴🎽🩱👖👙🎒👚👔👗 :
wewe usimiliki sisi tunamiliki bhana
2026-06-09 20:54:49
65
jackline.joseph60
jackline joseph :
wadanganywe wahoo siyo mimi jaamn
2026-06-10 08:30:53
33
pascal_0390
Pascal 🇹🇿 :
Akili Mingi saana Dada Mungu akubariki na abariki tumbo la alie kuzaa🤲🤲🙏
2026-06-09 23:04:40
110
subira.lunja
G, shopping center :
siwezi kujishusha hivo,,nna nyumba yangu,,nna nyumba yetu,,hivo tuuu😂
2026-06-10 09:12:46
10
rosesambi0
shuu cute :
wewe hujaelewa
2026-06-10 00:55:25
14
sofia.rashid5
Sofia Rashid :
unauhakika na ulipo mwaya
2026-06-10 04:12:35
25
mrs.hamidu2
Mrs.hamidu :
mmi namilki nafsi tu mengine ni ya Mme wangu
2026-06-11 19:47:06
31
mishi.mbwana8
Mishi Mbwana :
eeh mungu niepushie hii akili mim na kizazi changu chote
2026-06-10 10:48:45
15
ibrahimtegere
ibra :
Mbona sion comment za wanawake humu 😂 any way ubarikiwe Dada 🙏🙏
2026-06-10 06:31:56
20
jmaxbosslady3
jmaxbosslady :
mme wangu hela zangu ni zangu ila hela zako baba ni zetu si ett mme wangu nakupenda mnoo chibaba wangu🥰
2026-06-10 06:54:38
11
sarahbirumo
Sarah Birumo :
😂 sijui hata nacheka ninii
2026-06-10 04:11:15
15
foxtrot.mandonga
Foxtrot MandongaFrank Lenson :
Upo sehemu Salama kabisa. Ishi na upate raha yaa maisha milele
2026-06-10 03:18:01
24
lucalucalucalu310
Ezekieri leunda :
wwe ndo mwanamke wakwanza kuxikiya ukiongea hvyo hongera pokea uwa lako mpnzi 💐💐💐
2026-06-10 00:01:58
21
pily.hamisi
pily hamisi :
dd uko sahii 🥰🥰🥰
2026-06-09 14:27:39
12
pauroash
pauro A,yona :
mungu akpe maisha marefu sana irri nawengine wajifunze
2026-06-10 04:27:53
13
user9956847052816
user9956847052816 :
Kweli mpz hiyo ndio hekima
2026-06-10 15:28:40
8
goldenmpalestina
goldenmpalestina :
dada peponi moja kwa moja Mungu akubariki sana
2026-06-13 23:20:39
6
calistomsigwa
Vasity :
Dada mungu akutunze sanaa, lkn pia abariki uzao wako milele,
2026-06-10 09:31:43
7
mangimselle
mselle :
honger zienda kwa mama aliyekuzaa ,love much♥♥♥
2026-06-11 01:13:34
5
momg269
Mrs. Lugano :
mi mwenyewe nawashangaa kujimiliki tu Mimi nimeshindwa namilikiwa na mume wangu hata jina naitwa Mrs mume sasa sijui ntaweza kumiliki nini. mi simo
2026-06-10 16:59:35
6
erickerick976
Erick Erick :
Utadumu kwenye mdoa🥺
2026-06-09 22:49:42
11
john.ndalu7
JOHN NDALU 📷 :
dada mungu akupe uwezo wa kufukili kama unayo yaongea unayafanya lakini utapewa uwezo na mungu ila kama unafuta follow sijui🫡🫡🫡
2026-06-10 05:44:04
8
abuu20969
Abuu :
Dada unajitambua Safi sana
2026-06-10 09:25:14
7
To see more videos from user @mamayohannamachinga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About