@zahmid_tz: Tutajie sifa nyingine za mke mwema ✍️ 💧 Sasa unaweza kutufuatilia YouTube kupitia chanel ya ZAHMID TV, karibu tujumuike kwa pamoja kwenye Ulimwengu wa kiislamu 🌙 mzungumzaji:Sheikh Nurdin Kishki ⭐️Follow ili ufahamu uislamu wako kupitia mawaidha, nasaha, darsa, Qur’an na hekima mbali mbali. #uislamu #islamicpost #mawaidha #islamicvideo ⭐️FOLLOW ⭐️ @islamic_halawah @zahmid_tv @nuru_ya_peponi @guide_qalam @islamic_rihla
mm tatizo langu ntukana sana wanaumwa Kila moja hanitaki kisa Nina mdomo lkn Nina Iman na uvumilivu lkn shida yangu Nina asira sana nkutukana Nina miaka 28 cjawahi kuolewa Sina mtoto nibaki mpeww hkuna wakunielewa 😭😭😭😭😭😭
2026-06-10 05:45:03
12
Malikizo :
Tunapoelekea ckuiz wanaaminishwa usawa kwenye Vikao vyao ,Sasa kinachozalishwa ndio hicho kiburi jeuri na dharau.
2026-06-09 22:10:38
8
thunaithat :
mm kusema ukwelii mmewangu ananipenda sana sana mpka najishauwa ila shidah yangu mm nimoja tu ninahasira nakibury naomba shehe uniombee mm niko ivo
2026-06-15 07:30:14
5
Asia quite :
kweri kabisa mume kama mtoto
2026-06-09 17:16:57
6
Mwasiti Isa :
inategemea na mme pia je anamkea kama mme,,?shekh huwez mtii mme kama yeye hasimami kama mme
2026-06-11 07:23:30
6
🎀🎀🎀mamu❤️❤️❤️🎀🎀🎀 :
Nan kaona jicho la la shee kishki😊
2026-06-11 22:32:50
6
Swaum waziri :
kumbe ni mke mwema sema mmewangu sasa mitusi😭😭😭😭😭😭
2026-06-12 06:23:22
5
ngabiro :
km yeye hanitiii jeeee hapan jmn 😂
2026-06-11 23:46:40
3
samy koi :
umejuaje sheikh mpaka na hisi kukata tamaa Kwa huyu mana dada.
2026-06-11 07:57:50
3
Will_KiD27 :
100
2026-07-13 04:07:05
1
Ahmed Aruna fundi malbor :
shrani
2026-06-15 06:15:50
1
star boy mchafu.26 number :
hiv bado wp hao
2026-06-11 14:05:04
2
Zu Lda :
tutajitahid inshaallah Allah atusaidiy kwa hil
2026-06-12 13:59:52
2
Khadija kaniki :
huwezi mtii mme kama yeye hasimame kama mke cheikh 🤌 huwa tuna badilishwa nawo tu
2026-06-11 17:46:49
4
Star mox :
Kweli kabisa
2026-06-12 19:52:41
1
Ali Ali :
kweli kabisa sheikh wangu
2026-06-13 18:42:09
2
user41606263217226 :
duuuh kweli
2026-06-12 18:52:15
1
user910865006368 :
Ila w’ke wema kwa w’me wema na hutii na kunyenyekea waume zao kwa wema na sio umtwii m’me muovu kwenye uovu.
2026-06-12 13:23:11
5
Swalehe Mwalwa :
kabsa shekhe
2026-06-10 14:52:37
2
user6336535078621 @selinawes :
atakama amesema anaoa mwingine 😁😁
2026-06-16 06:54:30
1
rashid seif :
Ni kweli kabisa kishk
2026-06-12 16:56:12
1
Awa1900 :
Allah Akbar
2026-06-11 13:17:58
1
Reality :
huyu sio mwema🙂
2026-06-12 01:42:38
1
sami :
asaiv vipo vichomi
2026-06-10 18:19:25
1
MR YUSUPH :
HAKIKA KABISA
2026-06-10 19:01:01
1
To see more videos from user @zahmid_tz, please go to the Tikwm
homepage.