@miladu_tv: Kaswida ya Pendo gani alotunga Sheikh Walid imetoka rasmi Video yake, ambayo imeimbwa na Ukhti Fatma Huwa. Video hii imepandishwa katika Youtube ya Fatma Hua, nenda Youtube ukaitazane full. miladu_tv #MiladuUpdates #miladutv #babdeoMiladu
mashallah tunampenda sana nimeumia kuliko chochote
2026-07-15 14:45:39
4
Esha cosmetics 155 :
mashallah 🥰
2026-07-14 17:26:44
3
binti wa Muhsinu :
Taarabu mpya 😁😁😁😁😁
2026-07-15 13:15:32
0
Hurul Ayn :
Sasa kuna tofauti gani na taarab ?
2026-07-15 20:01:05
1
Chicken killer :
hamna kitu apo
2026-06-10 15:59:48
5
Ghost{ff}max :
mungu amuongoze kwakila hatuwa yake ampe subra ndiyo jambo la her
2026-07-15 09:27:51
3
Nadia Ally :
Imwende shekhe wng Waldi popote ulipo kunawatu walikuja kuongoza wakapndoka ila kwa ww tumeonewa sisi we ujaonewa sisi ndio tunateseka wallah Allah tengeneza njia pasipo na njia kwa shekhe wngu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭❤️🫂
2026-07-15 11:58:26
0
Fatma-89 :
Hii NI taarabu tu
2026-06-10 11:38:28
1
Rehema Amri :
Yan nimekumis sana shekhe mwenzi mungu akusimie
2026-07-15 12:36:18
1
Sophia Rwambo :
imeniuma 😏sana
2026-07-14 20:14:57
1
user1116586747707 :
Nicheke mie 😂😂😂
2026-07-15 06:05:19
0
Mwanaa :
Waliyofanya hayo yote Mungu hawalaani
2026-07-15 11:29:09
1
ZAINAB YASINI :
mtihani mungu atusimamie.
mziki huu
2026-06-13 04:38:03
4
IBRAHIM GRAPHICS :
hatari sanaaaaa
2026-06-09 20:36:58
1
Student of Sheikh Kishki 😎 :
[Hakika ya saa ya QIYAMA] ipo karibu ALLAH ATUONGOZE
2026-06-18 19:11:17
2
HUSSEIN MAKAME :
Ya ssalam
2026-06-10 06:02:54
1
Asma :
mashallah🥰🥰
2026-06-10 07:41:47
1
Aysher Ibrahim✨ :
Maashallah mtunzi apewe maua yake
2026-06-09 13:09:02
0
abalqassim_ :
Hii si sawa kope , lips shine then unaimba kaswida tujitahidi kutofautisha taarab na kaswida jamaan
2026-07-18 13:52:42
0
hamis saidi :
mashall as h
2026-07-16 19:22:48
0
mummy love21 :
daaaah😭😭😭😭😭😭😭
2026-07-17 21:14:07
0
Bibi Cocu :
Uzeni flash
2026-07-17 12:56:54
0
H.A.E.S.R :
This is wrong, hakuna mambo haya kwa waislam
2026-07-16 21:41:06
0
fatushi :
😭😭😭mungu atampa subira
2026-07-16 21:31:33
0
sauti ya ginny :
Yassalam 🙏🙏
2026-06-09 17:32:50
0
To see more videos from user @miladu_tv, please go to the Tikwm
homepage.