@mwaipaya_: #usa #MsigopeTumeshinda #77Tunatoka #KatibaMpya #FreeTunduLissu

Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 09 June 2026 12:21:04 GMT
18954
400
97
24

Music

Download

Comments

eddie.4535
Eddie.45🇹🇿 :
Naomba wa zanzibar mkazie hapo hapo ili nasisi tupange nguvu au sababu ya kuwatoa town karia koo na Tandika wako wengi madukani so naomba mkazie hapo hapo nkamiliki genge la mpemba Tandika..😁
2026-06-10 08:07:29
7
melanin._255
Melanin _255🇹🇿🍀🌸 :
Yan hawa nyumbu wangekatiwa tu umeme wetu! Mijitu yenyewe mivivu kweli haifanyi kazi
2026-06-10 06:42:35
8
0oficcial_raphy
Official_RaphY :
habibi welcome to zanzibar zanzibar hakun matata
2026-06-10 09:07:04
1
bantu_tour_guide
Bantu Tour Guide :
Mheshimiwa anayeleta mjadala wa ajira za hoteli ana sahau haraka sana. Hivi anajua kuna Wazanzibari wangapi wanaendesha maisha na biashara zao kule Bara bila kubaguliwa? Tukianza hizi siasa za kibaguzi, nani ataumia zaidi? Badala ya kulialia
2026-06-10 04:09:50
7
officalzito91
officalzito91 :
hata Tanganyika ajira iwe Kwa watanganyika na wageni wa nje tofauti na Zanzibar
2026-06-10 07:00:44
2
chadiboy59
Chadi Boy :
huyu huyu ndie aliesema hatutaki kambare
2026-06-10 10:35:05
0
paschalphilipo3
Paschal philipo petro :
wawewazawa ni hotel zao?
2026-06-09 19:31:55
4
mwinulabeatus
mwinulabeatus :
Anahoja. Serikali inatakiwa kulinda ajira za wananchi wake/ wazawa. Huku kwetu bara hatufanyi vizuri sana (ni tatizo binafsi)
2026-06-10 05:09:20
2
eliudsamweleliudsamwel0
owino :
naomba muungano huvunjwe nakilanchi hijitegemee tuone kama hizo hoteri zitawapa Umeme
2026-06-10 08:38:28
0
anko_praise
Anko praise :
kwani zanzibar wenyewe wanasemaje
2026-06-09 21:19:47
0
user3034425512523
star :
hawa watu mkiwachekea watawapanda sana kichwan vijana wetu kwan vijana wabara cyo vijana wenu na vipi kuusu wazanzbar wanaouza maeneo zenj wanahamia tanga huko ni kwao
2026-06-10 08:20:33
1
josephtesha00
josephtesha00 :
ubaguzi kwa wavivu ushafika
2026-06-09 16:17:35
1
hemedkessy
Hemed Kessy :
WABUNGE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA INABIDI HILI SUALA LIJADILIWE,HAIWEZEKANI ANASIMAMA PAKA MMOJA ANATUNYANYASA NA KUTUBAGUA KWANI WAO HAWAPO HUKU? HAWAMILIKI CHCHT!!!!? HAWAPO KWENYE AJIRA!!!!? nasisi pia hiyo kazi tunaiweza,wao pia waondoke kwenye ajira za BARA
2026-06-10 07:20:04
1
max319831
Max :
nasisi hatuwataki uku bala
2026-06-10 04:16:48
0
user1699183277427
Ahmada :
ZANZIBAR KWANZA TANZANIA BADAE
2026-06-10 08:19:55
0
user97251907226656
user9725190722665 :
TUFUKUZENI MUKAE WENYEWE TUNACHO TAKA TUSIO KUA WAZAWA NA TUKAWA TUMECHANGIA MFUKO WA HIFADHI ZSSF TUPWE PESA ZETU ZOTE...
2026-06-10 06:03:58
0
cloud27019
+cloud :
wala urojo wanaweza kufanya kazi
2026-06-09 12:36:49
1
bantu_tour_guide
Bantu Tour Guide :
Sekta ya utalii sio ofisi ya kugawa hisani, ni biashara ya kimataifa inayotafuta viwango na huduma bora. Mwekezaji haangalii sura au asili, anaangalia nani anajua kazi. Kuliko waziri kukaa na kulalamika nani kashika ajira, atwambie SMZ imeweka mikakati gani kuinua viwango vya vijana wa hapa ili wajiajiri au waajirike. Ubaguzi haujengi uchumi!"
2026-06-10 04:09:09
4
eddo790
Eddo :
Sasa mnataka wafanye wazawa wakati nyie wenyewe mavivu kusoma, au mnafikiri kwenye hospital mtaweka watu wa form four?
2026-06-09 14:13:37
1
user97388212813188
njaa kalisana :
yani tunako elekeya ni kubaya sana
2026-06-10 01:24:39
1
ameir.habeish3
Ameir Habeish :
dunia nzima wazawa mwanzo
2026-06-09 18:54:18
1
prince_ujazo
Prince Consort :
Zanzibar inaota makuchaaa juzi samia kaenda kuzindua direct flight to russiua
2026-06-09 12:32:25
1
joetiptop
Joetiptop :
Kumbe ndomana wanauza kachori nayo nikazi jamani tanganyika yetu tupewe tu ili wajifunze
2026-06-09 12:44:23
1
gabrielymbuko
DJ LYTA :
mbinafsi mpe muda tu MATENDO yake lazima yaonekane
2026-06-09 16:01:03
1
mkubwa.wao81
Reform clasic :
hawa watu ni wabaguz, wabinafsi da! muungano hatuutaki kwakweli 7. 7. kitaeleweka
2026-06-09 12:38:11
0
To see more videos from user @mwaipaya_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About