“Sawa, nimekuelewa. Asante kwa kuniambia ukweli kuliko kuniacha niendelee kuamini kitu ambacho hakipo. Nimeumia kidogo lakini nakuheshimu kwa uamuzi wako. Nakutakia kila la heri kwenye maisha yako na kwenye uchaguzi wako. Uwe salama.”
2026-06-11 11:19:48
179
Mudy :
downlod efootball ingia pvp division utanishukuru ila usisahau kutafta ela
2026-07-04 18:17:20
11
Abdull razack :
E football mwanangu
2026-06-12 11:57:31
51
Tshapper :
Brother Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema
2026-06-12 21:21:31
27
its jeuc💯 :
welcome efootball member broo😌
2026-06-29 09:25:38
8
COMMANDER :
just move on dude kachezee e-football
2026-06-13 17:12:50
7
Lusyabalika jr :
Brother Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema
2026-06-14 09:07:01
9
lukastiktok :
Sawa, nimekuelewa. my lovely pia Asante 🙏kwa kuniambia ukweli kuliko kuniacha niendelee kuamini kitu ambacho hakipo. Nimeumia kidogo lakini nakuheshimu kwa uamuzi wako. Nakutakia kila la heri kwenye maisha yako na kwenye uchaguzi wako. Uwe salama.” bye 👋
2026-06-26 11:04:36
16
mr kifuti one :
kwani kuandika sawa ni kazi bro
2026-06-12 09:56:08
38
kidy men trucks 💎💯🇹🇿🦺🦺 :
mwambie sawa ata mimi nilikua sijakupenda nilikua na wanawake wengne
2026-06-10 12:18:10
24
zay :
usimjibu kit wakat mwengin ukimya ni jibu tosha we focus na maisha yak huenda baadae akajutia ila time itakua ishaenda
2026-06-14 10:49:21
5
Edison Abas :
mwamby asante kwa kunipunguzia bajeti
2026-06-11 09:44:32
9
moss Tz :
nilcho kipenda we so sam
2026-06-12 13:07:35
9
SAMMY GUNDIGU💫 :
kina Sam tuna nn au tunaonekana watu wa mungu sana 😭
2026-06-12 11:19:57
7
Ramadhani hilaly :
kwa mm ambao ishawh kunitokea nilimjibu kam iv Saw hamna shida siez ulazimisha moyo💓,,, wako upende usipo penda.... ila nashukuru kwa ukweli wako mana nitaumia lakin maumivu yataisha kuliko ungeishi namm kama msaliti lakin ukweli nikwamba,,,, nilikua nakupenda sana hata ivo nitamshuru🙏mungu nakuamin yakwamba kwenye maisha yangu nitabaki kuamin kuwa mungu huondoa kile nikipendacho na kunipa kilicho bora zaid kwaivo ww haukuwa bora kwangu ndo ndomana ukaondoka by nikutakie maisha mema uko uendako Nakupenda sana nisalimie umpendae.
2026-06-15 19:37:10
6
John Rubasha :
wenye hekima hatuhitaji kumjibu kaa kimya focus kujijenga
2026-06-12 15:43:15
7
Pascal 🇹🇿 :
Mimi nae mapenzi ya kweli niliachiaga njiwa 🙌
2026-06-09 21:19:50
6
Abduli Azizi :
mwanetu apo we sherekea 2 mwambie asante kwakuni kwamua utaendea ..?
2026-06-09 17:41:38
10
xamaclaxxic :
sub ya maana kabisa ila Ingia playstore install efootball
2026-06-22 08:54:45
2
ceyhan :
Hee andika sawa maisha yaendelee
2026-06-15 19:43:46
3
young F__ :
unampa good luck hpo
2026-06-11 20:55:59
2
lady cutie 🥰🥰❤️🥰🥰 :
just move brother
2026-06-14 11:34:41
1
Victor Man🫵✅️ :
"Asante kwa ukweli wako. Maumivu yapo, lakini ningependa ungeniambia mapema kuliko kunifanya niendelee kuamini kuna kesho yetu. Sitakulazimisha kunipenda. Nakutakia kila la heri, na kuanzia leo kila mmoja aendelee na maisha yake. Kwaheri."
2026-06-30 10:02:25
3
To see more videos from user @calvie0096, please go to the Tikwm
homepage.