@moradioke88.2fm: Zaidi ya watu 60 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa MRC wamekamatwa Mikanjuni, Mtwapa, Kaunti ya Kilifi baada ya polisi kuvamia kile walichodai kuwa mkutano wa siri. Washukiwa hao wanadai walikuwa wamemtembelea mwenzao aliyekuwa mgonjwa.#kenyantiktok🇰🇪 #foryoupage❤️❤️ #fyppppppppppppppppppppppp #mombasatiktokers #fyp