@bbcnewsswahili: Siku mia moja zimepita tangu vita vilipozuka na mashambulizi ya wakati mmoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran. Sasa Kuanzia kuuawa kwa Khamenei hadi tishio la Trump 'kuingamiza Iran' @_phillys anaangazia matukio makubwa 5 yaliyotikisa #bbcswahili #fyp #foryou #iran #trump