@mwinjilistiedwin: Leo kanisa limeingia duniani kiasi kwamba baadhi ya watu hawaoni tena tatizo la kuvaa nguo zinazoonyesha uchi. Lakini sisi tulioitwa na Mungu tunapaswa kuishi kwa utakatifu, adabu na heshima mbele za Mungu, tukikumbuka kuwa miili yetu ni hekalu la Roho Mtakatifu. Tuishi kwa namna inayomtukuza Mungu katika maneno, matendo na mavazi yetu.

mwinjilisti edwini msigwa
mwinjilisti edwini msigwa
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 09 June 2026 13:25:17 GMT
129800
18096
747
400

Music

Download

Comments

james_hd_prod
JAMES :
mtumishi !! una soma ??
2026-06-10 10:10:24
14
agrymaliam
m agrey :
Barikiwa Baba Barikiwa mtumishi wa Mungu 🙏🙌🏻
2026-06-09 18:46:27
20
kelly.rish4
Kelly rish :
amen amen and amen
2026-06-21 19:31:43
0
venance.siyajal
Venance Siyajal :
Mungo akulinde naakutmie
2026-06-09 14:56:09
29
everlyne.mukira6
Everlyne Mukira :
true mutumishi
2026-06-20 07:45:45
1
mtotocharle
mtotocharle :
napokea haya maombi katika jina la yesu
2026-06-10 06:46:05
7
mugisho.bihume.gd
Mugisho Bihume Gédéon :
kweli kabisa ndugu yangu 🙏🙏🙏
2026-06-14 06:03:56
2
aloycemtuy04
Aloyce minja :
Asante mtumishi nimepokea neno
2026-06-09 13:48:50
5
user8528206055301
Grâce :
amen amen amen
2026-06-14 02:46:28
1
sam.mshana2
Sam Mshana :
amina
2026-06-16 04:53:32
1
1224sama
benny :
amina
2026-06-11 18:48:08
1
neywith22
Neywith :
Ee Mungu nirehemu Mimi
2026-06-09 17:31:03
16
mtongahasheem
mtonga hasheem :
ameen mtumishi
2026-06-09 15:12:13
5
user69993057481885
alicedevid :
𝒕𝒖𝒎𝒆𝒍𝒊𝒔𝒊𝒌𝒊𝒂 𝒏𝒆𝒏𝒐 𝒖𝒃𝒂𝒓𝒊𝒌𝒊𝒘𝒆 𝒔𝒂𝒏𝒂🙏
2026-06-09 14:44:44
7
user87658185669098
user87658185669098 :
amen amen amen
2026-06-10 14:06:10
1
kulejonan835
Kule Jonan :
Much love ndugu
2026-06-20 23:40:28
0
frimamjeshi69
mapenzi Lablonde :
amina
2026-06-10 19:47:47
1
luciennkulu931
Lucien :
Amina
2026-06-11 16:27:13
1
user6163093790722
guilaine mukesyavuta :
mungu akufikiche mbali mtumichi wa mungu
2026-06-10 04:12:56
6
user74304011774688
chance :
amene
2026-06-10 15:21:36
1
user3214086881637
user3214086881637 :
Amen 🙏🙏🙏🙏
2026-06-11 18:30:26
1
user69937154619784
Jaques muviri :
amen 🙏
2026-06-11 21:49:45
1
xandeurbasaki
xandeur basaki :
Amen 🙏🙏
2026-06-12 14:15:24
1
o115380464
mike :
amina
2026-06-11 17:35:13
1
florah.semba
Florah Semba :
Amen
2026-06-10 16:12:04
1
To see more videos from user @mwinjilistiedwin, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About