mara paap unaingia online unakuta mamako anachapa reggae namna hii😂😂🤭🤭
2026-06-09 16:55:37
16
hawe sidi mudzo❤️ :
Cjui but hii nyimbo hunitoa machozi
2026-06-09 17:05:23
12
claritho0 :
mum is always a mum kwa mfuko kuna chakula amebebea watoto na ulevi wote bado they think of their children
2026-06-10 06:56:08
3
kasidi mkundya ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ :
😂😂😂jamani ukizubaa tu wajipata watrend TikTok mungu saidia watu wako
2026-06-10 05:26:31
1
Phelis Dama :
humu tu 😂😂😂😂
2026-06-10 07:13:43
0
Calabash :
Tribute to the dancing mother
2026-06-10 07:31:35
0
Anita Anitas :
hii song sijui wanasema nn bt hua inanikubusha mamagu njipata nlia sana rip mum😭
2026-06-09 20:54:16
2
mtajir Øĝ 🫂🔏 :
niyiyooooooo
2026-06-09 16:00:22
1
emmanuelngana662 :
jina la huu mziki n gan mooh na inatokea wap
naitaka Niko na harus December so nipate ngoma mapema
2026-06-09 18:25:53
1
official lina 🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦 :
🤣🤣🤣🤣wazeee hukumbuka zaman
2026-06-09 22:23:17
0
gracebeib :
🤣🤣🤣🤣 ila wazazi wetu hawa
2026-06-09 16:19:29
1
official MICHEMICHE :
kumekucha sasa
2026-06-10 07:23:03
0
pendoyaa :
nakaka mziki jina nahao wamama wacheze kwa sherehe yangu
2026-06-10 07:20:56
0
Teargas Mapesa :
my lovely singer 🥰🥰
2026-06-09 15:00:56
1
crime Master 📥 :
anakumbuka zama zake😂😂
2026-06-09 15:03:06
2
MKALIWAO DA MKALIWAO :
huyu mama wa kilemba ya yellow she was touchedby the song u can see how she is dancing.lots of expression .
wira wamuguta ho mwisho.anaulewato kbsaa 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-06-10 03:37:20
2
boss lady💕🧠🫦 :
my favorite song🥹
2026-06-09 18:38:32
1
uba salim :
That is a very touching song ❤️let her dance wazee hukumbuka👏
2026-06-10 04:57:17
0
chimamy :
wamama wamechangamka 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-06-09 17:33:18
0
Mum AST :
tunaishi mara moja tu
2026-06-10 08:00:33
0
NEEMA :
mpeni soda kwa bill yangu hyo mum akunywe amefanya cku yangu ikue poa
2026-06-10 07:55:09
0
user9739975429544 :
my sister did it
2026-06-10 08:05:14
0
toto la kimwakithi :
my mum alikua Na Haya Sana hata Hali kama hii hawezani continue rest in peace my mum 😭😭
2026-06-10 07:06:21
0
kanze pendo💘💘 :
😂😂wachaaa weee
2026-06-10 06:59:24
0
user246965446361 kamamaa :
noma sana😂😂😂
2026-06-10 08:23:42
0
To see more videos from user @mohaa3360, please go to the Tikwm
homepage.