@mshindo_tv: —Mkurugenzi wa Deepseach international Ltd Bw.Yusuf Washokera Amesema Ujio wa Jukwaa la kidigitali la Driverlinkafrica utarahisha kupatikana kwa Ajira Lakini pia kuwarahisishia makampuni yanayotafuta madereva kuwapata kwa urahisi kwenye Mfumo. Bw.Washokera Amesema kampuni inayotaka madereva itaingia kwenye mfumo na madereva wanatafuta ajira wataingia kwenye Mfumo, jambo ambalo limeondoa changamoto iliyokuepo awali ya kuhangaika kutafuta madereva au madereva kuhangaika kutafuta ajira. NB: Mfumo wa Driverlinkafrika Unapatika kwenye Apps store pamoja na google Play kwa watani Simu za Android, Lakini pia kwenye Www.driverlinkafrica.com

Mshindo tv
Mshindo tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 09 June 2026 15:28:03 GMT
11663
315
14
15

Music

Download

Comments

kristin.sanka
Kristin Sanka :
natoa wazo madereva wengi hawana sifa nzuri ya utendaji wa kazi walio wengi sana ,na hao ni asilimia 70
2026-06-23 19:38:49
0
mrramso_2
Mr Lade :
Kitu kizuri ana 🙏
2026-06-23 19:27:39
0
isaya.lodrick
Isaya Lodrick :
tusaidiane
2026-06-23 18:41:35
0
mohamedganilo
Mohamed Ganilo :
Safi
2026-06-23 16:26:39
0
geofreysteven42
Geofrey steven :
weeken nmba
2026-06-23 11:57:41
0
darusi.hamadi
Darusi Hamadi :
Tupo wengi tena tuna sifa nzuri kabisa ila ndoivo kujisemea mueshimiwa wetu baba levo kuwa dalasa la saba tunaonekana hovyo kabisa
2026-06-23 15:20:55
1
mundhirkhamisi2
mr ramso :
tupo wengi tunatafuta ajiraa ya derev
2026-06-10 06:58:38
1
mozart4589
Mozart 45 :
upigaji utakuwa mwing ndo shida
2026-06-19 17:58:09
1
g311352isyourgoogleverif
Alanwalker jei den :
Tupo wengi huku mtaani
2026-06-23 18:46:03
0
usinizoee1
Babdullah :
Usiseme africa Sema Tanzania bhana
2026-06-23 18:05:07
0
pdg4064
PDG :
namna ya kulipanalipajeee
2026-06-23 11:42:21
0
masebuchuchu
masebu :
mbona tupo
2026-06-23 05:44:00
0
said.abdallah487
Said Abdallah :
ufala uwo
2026-06-22 10:51:39
0
user4113553934006
CHEED BOY :
saf xn huenda tukapona mi naendesha mchina lkn Sina mkataba
2026-06-23 18:58:45
0
To see more videos from user @mshindo_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About