@mrnikumbushe12: "Kwenye safari ya maisha, usisahau kuwa ni safari yako mwenyewe. Watu wanaweza kukusindikiza, lakini kutembea ni jukumu lako. Hakuna atakayepita njia yako kwa niaba yako."~Mr Nikumbushe #creatorsearchinsights #motivation #inspiration #swahilitiktok🇹🇿