ni kweli malindi tuliona mji alfajiri baharini ya magorofa
2026-06-10 05:28:07
1
Dee mack :
umebobea ilimu yakijini mdogowangu huwa nakufuatilia sana wallah siunafiq wajua sanaa I ngawa Sina hio ilimu yakijini
2026-06-09 18:40:55
2
mahmoudmzee :
Shekha mm tatizo langu nimefanya kazi ya kuajiriwa mwak wa kumi pesa nikipat zatok Tu sina mafanikiao tabu ju ya tabu nafanyaje
2026-06-22 08:11:19
1
Bijuma Swaleh :
Mimi nilipata malkia wa baharini ni story ya kushangaza huwezi amini😂😂😂ila Kuna kitu niliokota kwa nia nyingine kumbe ni yeye ila nlipofika Ile sehemu sikuona chochote baada ya sekunde kikatokea huwezi amini nikabeba hadi mchanga wa bahari kua nikafanye scrub ya mwili kumbe pia Ina sababu yake nlikua mgonjwa mafua kikohozi siku nne 🤣ila mzazi alijua siku ile Ile baada ya siku mbili mamangu akamtengea sehemu yake apa nyumbani akaekwa kabisa na ule mchanga wa bahari sema siku nilimpata nililala usingizi mzito sana wa amani nikiamka mwepesi
2026-07-22 18:38:30
0
starman :
majini yanayoishi angani je, unayazungumziaje?
2026-06-13 11:43:06
0
Double 24 :
🙏
2026-06-09 18:25:11
1
naysa2006 :
🥰🥰🥰
2026-06-09 20:03:21
0
To see more videos from user @doubletwentyfour24, please go to the Tikwm
homepage.