@vivaflm: MATOKEO YAKOJE UKO #creatorsearchinsights #kenya #vivaflm #burunditiktok🇧🇮 #tanzaniatiktok

VivaFlm
VivaFlm
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 09 June 2026 18:01:40 GMT
267927
11185
180
2482

Music

Download

Comments

pretty.m256
MEL❤️🫂📌 :
Mimi nimepost kafuta😁
2026-06-17 17:40:21
56
mwanahcute1
DA MWANAH 😘 :
Sahihi mm hata birthday yangu mtu ajaniwish 🥺
2026-06-18 15:36:34
12
nanao_fficially
Nah baby :
miniliachika kabisa nilijieka Facebook 😂😂😂
2026-06-23 20:21:21
8
suzym533
suzy@m :
naogopa sana nahisi hatanioa maana alishaniambia ety ili mahusiano yetu yadumu nisewe mtu wa kupekua sm yake ila yeye ya kwangu anapekua kila kona
2026-07-30 19:04:10
1
user6138294501198
naumi (mbomafamily) :
mi nilifanya ivyo weeeee nilitaman nichinjwe ety sm yake ya kaziii😭😭😭😭
2026-07-31 13:56:15
0
mrsmack27
Mrs Macky🦋😍 :
nimeweka jana😂😂 alafu nikacomment jaman😂😂
2026-06-22 20:18:58
4
user1418170444866
Layla omary :
sjisumbui coz akiona wamlazmish San anaweza kukupost huku wengne kawablock wasap unaishia kujiview pekeako🤣😂
2026-07-28 10:46:46
0
swagiajohn
💕ma gianna❤💘 :
🤣😂🤣me ni mpenzi mtazamaji sijawahi postiwa😂
2026-06-22 15:16:34
10
mrsjey34
Mamake yusra :
mm Sina usemi niliyapitia acha niwe single kuliko kulia kila siku
2026-06-23 14:02:30
6
janekapungu
jenije :
hiiii siachiiii kamweeee mini
2026-06-27 13:08:58
1
trishafidels12
Lee_pretiee :
tunaowekwa birthday had birthday mje hapa
2026-06-30 15:12:07
2
its_paulah1
Pola Hilary :
Hizo pasword nazipataje baba, face unlock kila mahari afu na mmi najipiga kifua nasema na mume dah!!😂😂😂😂
2026-07-19 14:46:13
2
sharifaemanuel5
SHARIFA Emanuel :
kumbe umeniamsha Baba ubarikiwe🎉🎉🎉
2026-06-18 14:15:34
4
user1117617581514
45 :
mimi kweny siku yake ya kuzaliwa nilimtengenezea keki nikaandika happy birthday my love hakupost
2026-07-18 17:10:02
1
miss.mwai4
miss mwai :
Hiyo simu hata huwa sishiki kabisa yani
2026-07-07 16:26:08
1
judithmhando561
Judith Mhando :
tushazoea
2026-06-18 14:30:47
1
user73467714242
ANJE DE LUMIÈRE :
Amen
2026-06-21 16:23:56
1
user66725303058483
💕warda💕 :
dah yan
2026-06-18 21:19:06
1
user5607019974830
sikumgwami :
iyo nikweli mtumishi
2026-06-18 12:46:00
2
userlatifayusuph
💋kimodo~°° mwanya🍎🍎 :
daaaaaaah mung akupe maisha marefu
2026-06-19 02:32:10
2
mrs.frank3
home🏡 living store💫💦 :
huyu wangu kabsa
2026-06-17 16:29:43
0
khadijasaluum
Khadija Linjepe :
daaah ukweli mtupu
2026-06-18 12:58:26
1
roseadson913
Rose Adson :
mungu ndo anajua tumemuachia yeye
2026-06-18 09:13:38
2
magretmassawe
Magret Massawe :
naamka
2026-06-17 15:39:13
1
march_25_flm
March_25 :
amka😂😂
2026-06-10 04:45:01
0
To see more videos from user @vivaflm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About