@come.tv.tanzania: SERIKALI YA ZANZIBAR: HATUTAGHARAMIA MATIBABU KWA WASIO WAZANZIBAR Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum, amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa watu ambao si Wazanzibar. Akijibu hoja katika vikao vya Baraza la Wawakilishi vinavyoendelea kujadili bajeti mbalimbali leo Juni 9, 2026, Saada alisema serikali imebaini baadhi ya watu wasiokuwa Wazanzibar wakinufaika na huduma za matibabu kupitia kadi za matibabu zilizotolewa kwa wananchi. Alifafanua kuwa wakati usajili wa wanachama wa ZHF ukiendelea, wananchi walikuwa wakipata kadi za matibabu kupitia masheha na kuweza kupata huduma hospitalini bila kurejeshwa. Hata hivyo, alisema kulikuwa na changamoto kwa baadhi ya viongozi wa ngazi za chini ambapo watu wasiokuwa Wazanzibar walikuwa wakitumia kadi hizo kupata huduma za matibabu. “Bajeti yetu ya trilioni 8, tutaweza kuwatibu watu milioni 60? Tumeona wengine ambao si Wazanzibar wanatibiwa kwa kutumia kadi za matibabu,” amesema Saada Mkuya. Chanzo: Millard Ayo #mtwarandiok #TamuChungu #southafricatikto #nairobitikto #daressalaam🇹🇿 #kinshasa🇨🇩congobrazzaville242🇨🇬 #mozzarella #dodomatanzania🇹🇿 #somalitiktok12 #kenyantiktok🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #bujumbura🇧🇮 #rwandatiktok🇷🇼 #mbeyatiktok #zibabwetiktok #burunditiktok #kampala_uganda🇺🇬🇺🇬 #ugandatiktok🇺🇬 #omantiktok #marekani #congolai
Come Tv Tanzania
Region: TZ
Tuesday 09 June 2026 19:23:11 GMT
Music
Download
Comments
insurance officer :
kiukweli kwa mtazamo wangu wazanzibar hawamjui mungu ndio maana hata roho zao zipo kibinafsi sana
2026-06-09 20:05:30
519
hadija :
mimi Mzanzibari ila siwependi wazanzibari ni wabinafsi sana
2026-06-10 04:23:16
380
Hamisa Fresh Juice :
Nyie mnaroho mbaya😢😢😢
2026-06-09 20:20:39
104
Zamda two 🌹 :
Wabara tunaupendo sana ila hawa mmh
2026-06-10 04:14:15
79
Daniela :
wabara wanaokaa Zanzibar poleni ,
2026-06-10 07:04:01
53
gladie🥰 :
Na South Africa walianza ivi ivi jmn tunahitaji maombi🥺
2026-06-10 07:25:52
42
Eby cool. :
meh mzanzibar lkn hiii so fair
2026-06-09 22:14:19
33
Asha Jay :
me naishi zanzibar lakini mungu nd anatulinda
2026-06-10 06:16:30
46
queenc :
🥺🥺🥺natamani niongee jambo lakini nahisi nitaongea vibaya.. bora ninyamaze tu..
2026-06-09 20:33:31
73
Saida mp 🥰 :
Siku ya mwisho utajibu hivi hivi kwa mola wako inshallah
2026-06-09 21:18:32
60
salum seif :
bajeti ya zanzibar haiwezi kutibu vichogo millioni 60
2026-06-09 22:07:15
51
siraajumansab :
hii nimeipenda,,,haki za wazanzibari zibakie kwa Wazanzibari wenyewe tuu.
2026-06-10 04:50:54
21
Sajin Sevilla🇹🇿&🇦🇩 :
Wabongo wahatibiwi hospital za serikali wanatibiwa hospital binafsi
2026-06-10 06:58:52
32
honey :
wabaguz sana awa
2026-06-09 20:19:40
18
lady_pinkysavage :
Nyie hapana tunaishi tu Zanzibar ila weeee n wabinafsi sana 🙌🏻
2026-06-10 11:57:12
10
Silent_Man🤐 :
sijspend hii
2026-06-10 12:42:15
1
cutefifi🎀🧸 :
loooooooooh 🤨
2026-06-10 12:11:43
0
nahya :
wabara sio shda zetu jaman kikubwa hosptar binafs zpo bas aslamaleykum
2026-06-10 15:13:48
6
mimuh🦋🦋💕 :
mmmhhhh ata aibu aoni
2026-06-09 23:50:30
6
Surviving is winning Franklin :
Audhubillah alafu nimepangiwa kazi huko 😢😢 Nita ishi kwa nusra ya Mungu tu hapo kam hawa ndio watu ntakao kutananao
2026-06-10 05:56:04
5
Kadoshi :
Hii inchi Ina mambo sana. acheni ubaguzi
2026-06-09 20:13:50
33
gabless :
Now what does the Union mean 🤔
2026-06-10 07:07:14
7
sulley khan :
mimi ni Mzanzibari ila siwapendi wazanzibari ni wabinafsi sana japo kuwa nje wanajifanya ni wema mno.. lkn hii ni zaid ya roho mbaya
2026-06-10 07:10:19
18
code72 :
ila nyie ni wabinafsi sana
2026-06-10 13:23:02
8
To see more videos from user @come.tv.tanzania, please go to the Tikwm
homepage.