mashaalla Barakallah ❤️❤️❤️❤️. iyoo raha yahapo haielezeki aiseee💃💃💃💃
2026-06-10 07:06:08
1
Abuu maujude :
2naompenda rasullahi swala llahu alayh wasalam na kutaraji kukutana nae kipenzi chetu tujuane like hapa inshaallah
2026-06-10 14:33:31
1
user15459194787680 :
Mashallah nyumbani na nyumbani tu❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-11 06:45:43
1
Mihidhwari Matereka :
Allah Akbar mashaallah tabarka llah kwa laghallama sheikh ramadhani sungu Allah amrehem yeye pamoja wote waliotangulia mbele za haki pia nasisi tupo nyma zao Allah atupe mwisho mwema umat Muhammad sote inshaallah Dua tusemni Amina
2026-06-11 21:13:49
1
Saira Nkuro :
mashaalaah unanikumbusha shamsunagharif kondoa
2026-06-10 08:08:24
1
Yusufu Heri :
mashaalah mashaalah ya Salam ya Salam hii ni madrasa yangu pendwa masange chini ya almaruhum sheikh ramadhan musa sungu
2026-06-10 09:53:21
1
user5734631673041 :
kondoa raha sana
2026-06-10 04:50:29
1
To see more videos from user @chuka.45, please go to the Tikwm
homepage.