Sitazoelea shida
I wasn't born to be tortured
I am the son of GOD 🙏🙏🙏
I am walking in glory 😇
2026-06-10 17:30:40
36
Enea happy :
Yeremia 33:3🙏
2026-07-30 07:31:35
1
Angel 🩷 :
Do we have this church in Kenya?! 🥺..naweza penda kwenda hii church 💯
2026-06-10 12:21:51
7
membamiriam :
Strong message 🙏🏽👏🏽
2026-07-27 15:20:43
1
Angel Michael :
Hizi si akili za Dunia hii,akili za Mbinguni zinapo ongea sistahili kusikiliza nikiwa nimesimama inabidi nipige na magoti kabisa.The Eubert Angel Geneology has never disappointed at all,this is more than an intelligent.Wachungaji wengi wana ishi kwa kufata akili zao na Ndiyo maana haya anayo ongea huyu Baba lazima wampige mawe kwani hawana ufahamu na waumini wao hawana ufahamu Kama wachungaji wao.Hatuishi kwenye torati,Tulisha kombolewa na tuko huru.Kwa ufupi Mtumishi anacho waambia nyie wadada mnao tunza ndoa kisa wananchi na ndugu,kimbia kwa miguu yako hasa pale unapo ona mambo hayaeleweki.Kuna watu mpaka Ana katwa mkono na bado upo tu kwenye ndoa kisa alicho kiunganisha Mungu wanadamu wasikitenganishe.Alicho unganisha Mungu hakina magomvi kina amani,kimbia dada kwa miguu yako hasa pale
2026-06-12 11:57:18
21
N A J A B O Y 💥🀄️ 💥💥 :
Mkuu shida ni malezi watu walio tokea yani paka mungu akuchague ndio taona sio sawa
2026-06-10 05:41:13
16
Telaviv :
there's no glory in suffering
2026-06-10 09:13:27
16
Mom Clara🥰 :
MATESO SIYO HATIMA YANGU IN THE NAME OF JESUS🙏
2026-06-19 17:29:58
6
Christina Mpete :
😂😂😂Ukiskia mahubiri makali ndyo haya sasa😅
2026-06-13 11:25:46
11
Pauline Anyango :
Nakataa kuzoea shida, hali ngumu,maana vyote si makusudi ya Mungu kwangu
2026-06-10 13:02:45
14
Heaven Woman Representative :
Nakataa kuzoea matatizo kwa jina la Yesu 🙏🙏🙏
2026-06-10 19:35:12
8
emilie_ms :
MIMI SIJAHITIWA MATESO IN JESUS NAME
2026-06-16 19:17:25
6
VIRGO QUEEN :
kuna mtu nataman nkamuoneshee hii kitu
2026-06-21 19:14:03
4
its-Nyanchama✨️ :
🤣🤣🤣🤣 bado kuna watu watabisha
2026-06-14 13:20:46
1
dayanamugizi :
amen 🙏 🙏
2026-07-12 20:10:08
1
Joyce Manga :
sitaacha mafundisho yako mpaka parapanda iliee
2026-07-29 08:44:51
1
coach derick :
kwel
2026-06-14 15:39:11
1
anethenerico :
umenena baba
2026-06-10 17:31:17
2
ms_ray :
Amen
2026-06-10 18:02:30
2
bestkihaka :
uyu jamaa mtu
2026-06-10 14:09:56
3
Mc.saluch🦋 :
Safety first 37/70
2026-06-10 08:08:40
4
To see more videos from user @pastortonykapola, please go to the Tikwm
homepage.